Recent content by Mjema Vushanje

  1. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Yani chochote tu unapewa like! Duh!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni mnyama ama mdudu gani unayemuogopa kuliko wengine?

    Nyoka baba!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Fred Lowassa: Paul Makonda nimetoka naye mbali sana, nasikitika anavyotumia nafasi yake vibaya kwa manufaa anayoyajua

    Ni tatizo sana hivi vyeo vya ukuu wa mkoa na wilaya kutokuwa na majukumu mengi ya kufanya, mkurugenzi au katibu tawala hawezi kuwa na muda wa kuharibu kama hu...ndio maana hivi vyeo inabidi viondolewe maana wanayofanya mengine ni aibu, kuna mwingine anafundisha huko Arusha, mwingine alichapa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hatima ya RC Makonda mikononi mwa wabunge wa CCM

    Hujui kitakachotokea 2020, subiri tu utaona
  5. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA haina nguvu ya umma, wananchi wamewachoka

    Ruhusuni mikutano ya hadhara
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna uchaguzi 2020

    KAMA UNATEGEMEA KUFANYIKA UCHAGUZI MKUU 2020 ONDOA NDOTO HIYO! Mimi sio nabii kama Lema au Tb Joshua lakini ninao uwezo wa kuona mbali kidogo, hebu ngoja nikushirikishe. Ukweli ni kwamba kwa hapa nchi yetu ilipofikia ni wazi kuwa hatuwezi tena kwenda kwa utaratibu uliozoeleka, kwamba uchaguzi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nimemwona Wema Sepetu, nimeshangaa kwanini tuna mu-Over rate sana

    Wema sepetu ni nani huyo, mbona mimi simjui? Ni mbunge, au mwanamuziki?
  8. M

    JamiiForums Tanzania INTIMIDATION NI NINI?

    INTIMIDATION NI NINI? INTIMIDATION ina maana na tafsiri mbalimbali hasa ukitegemea na muktadha Stahiki. Intimidation ni kitendo cha kumfanya mtu aogope, yaani akuhofie kiasi kwamba utakachomwambia ama kumuamrisha atekeleze. Intimidation imewahi kutumiwa na wakoloni wakati wanafanya harakati...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kike unakomalia nichkue kilo mbili ya mdudu na ndiz juu,duuh

    Wanakuja wanne
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Disemba 2017

    Zaina ee zaina ee
  11. M

    JamiiForums Tanzania Enzi zile za utoto

    Hivi unajua hata chizi hajui kuwa ni chizi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwa CCM hii ya Magufuli, Mangula na Kinana, CHADEMA ruzuku kwishney

    Ili ccm ijipime, ni lazima iweke uwanja fair wa mapambano, Ni mjinga tu anayeshangilia akimshinda kwa ngumi mpinzani wake aliyekatwa mikono huku mpambano ukiwa ni wa kurusha makonde.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Enzi zile za utoto

    Enzi zile za utoto kule kijijini tulikuwa tunalazimishwa kuchamba kwa kuburuzika chini kwenye udongo... Yaani ulikuwa unawahi sehemu imebinuka kidogo kisha unapachika tako huku na huku unachamba... Aisee tulikuwa na matako magumu! Ingekuwa miaka hii wala isingefikia huko... Magazeti kibao...
Back
Top Bottom