Mh Raisi Dkt. John Pombe Magufuli ninajua unapitia kwenye mitandao hii,Heshima yako,au una watu wako,wanaopitia naomba utusaidie wakazi wa moshi, ofisi za nida kwa kweli zimekuwa ni mwiba kwa wananchi,tunaomba utubadilishie watumishi hawa wasio waaminifu, dar vitambulisho mwezi mmoja tuu mtu...