Recent content by mjasiriamali mdogo

  1. mjasiriamali mdogo

    Baada Dramacool na baadhi ya tovuti kufungwa. Ni tovuti gani unaweza kupakua (download) Korean Drama bure

    Wadau wa Korean Drama kwasasa ni tovuti gani zimebaki ambazo unaweza pakua bure. Tovuti ambayo inakuwa na high quality. Nkiri iweke kando Kwanza ina low quality na Drama nyingi hakuna
  2. mjasiriamali mdogo

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Mwenye link ya kudownload hii series weka hapa Yi San
  3. mjasiriamali mdogo

    Ghorofa mbili hadi sasa zipo tupu Stendi ya Magufuli

    Wawakodishe Amazon College wawake Chuo au hostel
  4. mjasiriamali mdogo

    Mjadala: Matatizo ya Makocha WA mpira wa miguu Tanzania

    Wanamichezo naomba tujadili Kwa kina Matatizo ya Makocha wetu WA mpira miguu hapa nchini. Kwanini Makocha wetu hawaendi kufundisha nje ya Tanzania. Wana udhaifu gani na ni changamoto zipi wanazokumbuna ambazo huwafanya washindwe kutekeleza majukumu yao Kwa ufasaha.
  5. mjasiriamali mdogo

    Hii ndio 10 Bora ya gari zinazoongoza Kwa kununuliwa hapa Tanzania 2024

    Hizi ndio gari wauzaji wanasema ndio chaguo Lao kwasasa.
  6. mjasiriamali mdogo

    Hivi kuna gari zaidi Vitz na Passo ambazo sio hybrid Kwa ulaji mdogo wa mafuta.?

    Wadau Nataka kununua kigari cha kupigia misele hapa mjini. Yaani Nataka kila niendapo iwe ni mwendo wa kukanyaga Gia Tu. Je kuna gari zaidi ya Vitz na Passo Kwa ulaji mdogo wa mafuta.?
  7. mjasiriamali mdogo

    Wadau natafuta season zenye hekaheka mwanzo mwisho

    Warrior bark dong so na Rebel tayari. Hii "Yi San" ni mkono, mapanga na mishale au ni mapenzi na siasa Tu.?
  8. mjasiriamali mdogo

    Wadau natafuta season zenye hekaheka mwanzo mwisho

    Mbwembwe nyingi utakuta ni kabwela asie na nyuma wala mbele. Kula yake ipo miguuni mwake. Kujidai muda hauitoshi na kujifanyisha ubize kumbe huna lolote. Maisha ni mipango.
  9. mjasiriamali mdogo

    Wadau natafuta season zenye hekaheka mwanzo mwisho

    Hili jina lipo sahihi au......"symaster"
  10. mjasiriamali mdogo

    Wadau natafuta season zenye hekaheka mwanzo mwisho

    Wadau natafuta series zenye ladha kama hizi; Six Flying Dragon na Gwaggaeto, zenye siasa na mapigano kwa wingi.
  11. mjasiriamali mdogo

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Mwana nipe kama 5 list za wavaa mashuka zenye military conquest Kwa wingi, ukiachana na my country, king damdoek, six flying dragon,
  12. mjasiriamali mdogo

    Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

    Mkuu Sony TV model K-55X75K Vs Samsung TV model AU7000. Ipi nzuri.
  13. mjasiriamali mdogo

    Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

    Nilichoelewa Sisi tunaonunua TV Kwa lengo la kuangalia vipindi vya televisheni na mpira na CD zakina DJ Murphy. Tununue TV yenye sifa hizi iwe na Dolby vision,HDR,Ips Led Panel. Bilashaka Chief nipo sahihi au unasemaje.?
Back
Top Bottom