Recent content by mjasiria2mbo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa haya yanayonikabili

    Asante Mkuu Ng'wana ong'wa kulwa!! Ngoja mpunguzie kunyonya japo ni mbishi hatari!!! Asante sana
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa haya yanayonikabili

    Jambo la kwanza nina mtoto wa miez 3,huyu mtoto anacheua utadhan anatapika sijui tatizo ni nini! Tatizo la pili...... Bado sijaanza period ila kama wiki mbili zilzopita nilikutana na mume...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri

    Aiseee! Bora umejua ndugu! Lea mwanao na nakuambia kuna aliye kwa ajili yako anakuja! Nilishakutana na situation hii ila nilijiambia good to goooooo! Na niligoo kweli hadi sasa niko kwenye ndoa ya aman na Upendo halafu alivo kichaa et akaanza kunitafta adai turudiane nilimtoaje baruuuu! Hadi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kutana na warembo wa JF waliojitolea kuweka picha zao bila chenga

    Mmmmm! Hongera mwaya kwa ujasiri maana mi siwezi at! Nawekaje picha sasa?? Labda ya mtoto wa mtaan kwetu apa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hili jambo linanihuzunisha sana, hivi serikali imeshindwa kazi

    This iz Tanzania! Haramu imekuwa halali halafu halali ndo haramu! Uliza ufe
  6. M

    JamiiForums Tanzania Majanga: Nimemshika shemeji yangu makalio

    Nisijetukana mtu mie,uyo mtoto nmempenda buuuure
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tumbo linaniuma baada ya tendo

    ushawahi kuchek UTI??? Jitahidi kunywa maji sana
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya tumbo la chango kwa watoto wachanga

    Aisee tafuta seven seaz ni dawa nzuri sana imesaidia sana wanangu japo inanuka samak hatari!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwanangu jifunze haya kuhusu mwanamke

    Ngoja nimpe mume wangu na mie!!!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Usingizi wa kwa watoto wadogo

    Mi ka kwangu ukukabeba tuuu umekamaliza kabsaaaaa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake, Mkijipodoa sana mnatutisha... Ebo!

    :o:o Za saa hizi jaman:o:o mi napita tuu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wanaonyonyesha watoto hii ni Sawa?

    Ukiachana tuu na kulifanya hilo titi lake kuwa la maonyesho bado kiafya ni hatar kwa huyo mtoto hapo maana harufu ya hizo rangi za kucha + manywele hayo mtoto si atakuwa anayanyonya jamani ptuuuuuuuuuuuu!!! Fashion nipitie mbali mie
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe mabinti ndivyo mlivyo?

    Hiiiiiivi!!! Huyu nae n mwanamke wa kuoa kwel??? Manake kwanza n mwongo,mbil ni mbinafsi,, tatu anatake akutawale bdo mapema yan ana mashart ka EMF nyooooooo ebu mwambie umeahrisha hyo ndoa had utafte iyo milion moja yao
  14. M

    JamiiForums Tanzania Karibu utupiamo kama unalo na ww!

    kikristo! Kaaaa sa we safar mbona umenshinda! Meishia kcheka mweee!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Maskini mke wangu kumbe ulitoa mimba? Kwanini sasa hukunambia nifanye maamuzi?

    Alaaaa mi nkajua labda hajakzalia kmbe na watoto ameshakuzalia, sasa we ukaanza kumsikiliza uyo sijui ndo rafiki au kafiri wa kazi gan na umbea wakeee???? Marafiki wengine streeeeees tupu
Back
Top Bottom