Recent content by Mjasiria Akili

  1. Mjasiria Akili

    KERO Kifuru maji hayajatoka kwa muda mrefu

    DAWASA wamekuwa hawatutendei haki wakazi wa maeneo ya Kifuru kwa ukosefu wa maji kwa muda mrefu, na mbaya zaidi hakuna taarifa yoyote ya sbb za ukosefu wa maji.
  2. Mjasiria Akili

    Kiungo wangu bora wa ' Ukabaji ' nchini Tanzania kwa sasa Jonas Gerald Mkude a.k.a Deco De Souza amuumbua ' Mpuuzi ' Amunike

    Mudahir yahya abas akiwa fiti mkude hagusi pele subirini apone kama mtamuona mkude kwenye kikosi cha ndairagije
  3. Mjasiria Akili

    Wajumbe wa nyumba 10 CCM wanachukua namba za kadi za wapiga kura

    Jimbo la Ukonga wajumbe wa nyumba 10 wa CCM wanachukua namba za kadi za kupigia kura hasa kwa wanawake kwa kuwarubuni watapewa mikopo na cha kisikitisha walengwa wengi hawajui lolote masikini. Nimejaribu kumhoji mmoja kadi yake anapeleka wapi majibu aliyonipa "eti kuna mbaba kajiuzulu sasa...
  4. Mjasiria Akili

    Siri imefichuka Wachezaji wa Yanga Nahodha Cannavaro na Kessy wapigana wakigombea posho

    Wamesemea wapi habari zako siziamini mpaka kombe litue mto msimbazi kutoka fifa
  5. Mjasiria Akili

    Okwi amefunga goli nyingi kuliko timu nzima ya Yanga SC

    Teh sina hakika kama mhenga kafunga magoli yote kwenye goli la upande mmoja lkn nina uhakika kafunga magoli yote uhuru stadium
  6. Mjasiria Akili

    Yanga yadaiwa kuipokea Njombe Mji; wailipia hoteli ili kuihujumu Simba

    Angalia ulivyomuingiza cha kike msemaji wenu
  7. Mjasiria Akili

    Naweza kuhamisha data kabla ya kufomart?

    Hii software inapatikana google au?
  8. Mjasiria Akili

    Naweza kuhamisha data kabla ya kufomart?

    Naomba msaada, Memory card yangu imekataa kusoma kwenye simu inataka niformat nimeweka kwenye pc inasema hivyo hivyo ninachotaka kujua nikitaka kuformat inasema itafuta all data sasa je hizi data niwezaje kuzihamisha manake ina data za muhimu sana
  9. Mjasiria Akili

    Matukio Yaliyojiri kwenye Birthday ya Diamondplutnamz

    Kagoma kupitiwa na shetani na kuja madale kwa magoti hakuna haya kuwish barthday kwa baba watoto wake
  10. Mjasiria Akili

    Msaada wakuu simu yang infinix hot 4 inagoma kupiga

    Tatizo kuna fake yangu x601 nateleza tu
  11. Mjasiria Akili

    Mkutano wa Lissu: Mwambieni Rais Magufuli tutanyamaza tukiwa wafu, wafu huwa hawaongei...

    Ukinzi ukiimarishwa kulinda usalama wa lisu kama wapinga dhamana walivyotaka Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Mjasiria Akili

    KISUTU, DAR: Tundu Lissu afikishwa Mahakamani Kisutu, akosa dhamana

    Uamuzi wa dhamana kutolea alhamisi Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Mjasiria Akili

    Polepole: Mmoja Mkubwa Upinzani kurudi CCM wiki ijayo

    Kwenye mahafali anapiga siasa wakiandaa mahafali upande wa pili wakaalika viongozi wao wanakamatwa nchi kwa unafiki hii? Post sent using JamiiForums mobile app
  14. Mjasiria Akili

    Wanaoihujumu Yanga ni Bwana Chacharito, Baraka Desdeudit na Salum Mkemi

    Unajuma maana ya kupigwa? Unafikiri hizo dola elfu 70 ndio dau lake kwa taarifa yako tu madalali wanakula karibu nusu ya hela na ndio kilichofanya yanga waachane nae sbb walitaka kumpa dola 60 elfu lkn 40 cash na 20 kabla ya ligi kuanza lkn kwa sbb madalali wanataka hela wakamshawishi akatae...
Back
Top Bottom