Gharama kubwa katika tech yoyote ipo kwenye patent. Its either ubuni technology yako ama ulipie pantent. Kila mfumo kwenye gari una patent, kuna watu wananufaika na ubunifu wao,
Aziz ki anafanya hovyo kwenye league ipi? Ni mpumbavu pekee aliyefikili kuwa aziz ki angekuwa threat kwenye fifa world cup. Hivi soka la dunia mnalichukuliaje?
Heartbreak yangu niliyopitia nimekuwa mtu mwenye roho mbaya sana kwa wanawake after healing, kwa kifupi sijawahi kujali hisia zao. Kibaya zaidi nimekuwa rude na ndio napendwa sana kuliko kipindi nilikuwa najali. Inshort ukiweza kuishi kama hivi umeyashinda mapenzi
Tatizo la Iran kaweka mbele mdomo usio na msaada kwake, unatengeneza nyuklia kisha unatangaza kabisa lengo lako ni kuifuta Israel. Hata mimi ningekuwa Israel ningepiga counter attack
Mdhamini hayoi pesa za bingwa, anatoa pesa za kuendesha shindano, ndani ya hiyo pesa ndio zinapatika pesa za bingwa, runner up na reward zingine. Mfano, kila mechi kila timu inapewa 1.5m ya usafiri. Sasa piga hesabu ya idadi ya mechi na hiyo mil 255 then ndio utajua bingwa anadeserve ngapi...
Mimi ninashukuru heartbreak nilizipata at late 20's from then hadi naingia 30's sijawahi kuwa na huruma na demu, huwa naangalia peace yangu tu. Imenisaidia sana kwenye maisha
Hizi social medias na tech ni tools zinazotumika sana kijasusi. China walishafungia zamani sana mitandao ya marekani, unahisi ni kwa sababu ya soko? No facebook, instagram au whatsap china unless utumie VPN
Mbona michakato ya kuwapata wakina sandaland ilikuwa wazi tu mwenye dau kubwa anashinda tender? Kuhusu hiyo sanda sioni shida si ni brand name. Mbona tulikuwa tunavaa fila bila kuhoji.
Hao wachezaji uliowataja kila ukifika muda wa ku renew mkataba walikuwa wanademand pesa nyingi sana bob. Wachezaji now days wana ajents kila kitu ni business. Hao madrid last season walikuwa tayari kuvunja record ya usajiri for mbape, soccer ni budiness kila kitu ni pesa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.