Recent content by mjasiliamali14

  1. M

    JamiiForums Tanzania natafuta mchumba wa kike wakunga nae pingu za maisha umri 18-25

    kichwa cha habari hapo juu cha husika sibagui dini wala kabira kikubwa mapenzi ya dhati na kuwa tayari kuishi na mm kimaisha na kipato changu ni cha kawaida milo yote mitatu na imudu bila wasiwasi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kula/kutafuna kucha

    mkuu tatizo la kutafuna kucha ni ukosefu wa madini ya calcium mwilini tiba yake ipo
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta msichana wa kufunga nae pingu za maisha

    usijali ladyfurahia umeshapata tenda ww niombe tu nimpate uyo mke mwema
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta msichana wa kufunga nae pingu za maisha

    halijaisha cute shy bado linaendelea ww tuma maombi tu utajibiwa
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta msichana wa kufunga nae pingu za maisha

    jamani nashukuru nazidi kupokea maombi naiman nikimpata wa kweli nitamuweka hapa ila mchakato upo ukingon na ndoa itakuwa ndani ya uhuu mwaka
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta msichana wa kufunga nae pingu za maisha

    mkuu mm siangalii uzuri ukitaka uzuri utakuwa unatafuta mamic sasa
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta msichana wa kufunga nae pingu za maisha

    mkuu kanisanisani sio kwa sasa kule wengi walio umizwa na dunia ndio wanamkumbuka Mora wao
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta msichana wa kufunga nae pingu za maisha

    Mimi ni mtanzania niliyobahatika kuwa mwajiriwa wa serikalini nahitaji mwenza wa kuoana nae kuanzia miaka 18 - 40 sibagui dini wala kabila aliyetayari awetayari kupima VVU, naomba aliyetayari anipm.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Playstation 3 (PS3) for sale

    Mkuu ni pm kma bado ipo
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naitaji mwanadada wa kumuoa

    Kichwa cha habari hapo juu cha husika, Jinsia yangu ni mwanaume urefu wastani rangi ya kunde na mail wa wastani sio mnene wala mwembamba elimu chuo kikuu kazi serikalini dini Mkristo, lugha nne Kiswahili, Kingeleza, Kifaransa na Kihehe, naitaji mwanadada awe na umri kuanzia 18_28
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Jinsia mme
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Mm ni mtanzania nisiye na makuu naitaji mwenza kma maandiko yavyosema mwanamke atamuacha mamaye na babaye na kuambatana na mumewe wawe kitu kimoja cbagui dini wala kabira umri kuanzia miaka 20-29 elimu kuanzia kidato cha nne
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta friend wakike wa kuchat nao watsap na kujadili mustakabali wa maisha

    helow wakina mlio single njooni tuzungumze juu ya maisha na namna yakujikwamua kimaisha weka Watsap number
  14. M

    JamiiForums Tanzania BREVIS for sale 10.5 Mil

    mafundi wa bongo bado hawakawii kupigia shoti ndio mana wajanja wameshtuka wanauza mapema
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tecno boom j7

    weka bei mkuu
Back
Top Bottom