Recent content by mjanja wa kijiji

  1. mjanja wa kijiji

    JamiiForums Tanzania Yote anayosema Mange niliyasema kabla Hukoo nimetulia

    Kwahiyo wewe ni shoga?
  2. mjanja wa kijiji

    JamiiForums Tanzania Yote anayosema Mange niliyasema kabla Hukoo nimetulia

    Huyo mange kasemaje kwani?
  3. mjanja wa kijiji

    JamiiForums Tanzania Amejificha au wamemficha?

    Kweli
  4. mjanja wa kijiji

    JamiiForums Tanzania Amejificha au wamemficha?

    Mi sielwwi kitu hapa.
  5. mjanja wa kijiji

    JamiiForums Tanzania Maroboti (bots) ya X/Twitter nchi za Magharibi yapotea baada ya Ukraine kupiga data centers kadhaa Russia.

    Wengine hata hatuelewi tunaona sawa tu.
  6. mjanja wa kijiji

    JamiiForums Tanzania Taswira kamili ya CCM: Ni chama cha watekaji na wauaji. Mtu kama huyu hafai kuwa kiongozi.

    Ukitaka upate cheo we tukana na tishia upinzani baaaasi.
  7. mjanja wa kijiji

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Waislamu hii inaruhusiwa kidini?

    Eti leo kanzu na barakashia sio vazi la kislam, mbona mtu akivaa hivyo na akafanya mambo ya hovyo mnataka kumchinja kwamba ameudharirisha uislam? Hao ni wenzenu tu.
  8. mjanja wa kijiji

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Waislamu hii inaruhusiwa kidini?

    Vatican ni kwa wakatoliki lazima iwe hivyo.
  9. mjanja wa kijiji

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Waislamu hii inaruhusiwa kidini?

    Hao ni waislam bwana acha longolongo, yaani we muislam wa Mbagala maji matitu unajifanya unaujua uislam kuliko mwarabu wa Oman?
  10. mjanja wa kijiji

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Waislamu hii inaruhusiwa kidini?

    Wakiharibu mnawakataa hao ni wenzenu tu.
  11. mjanja wa kijiji

    JamiiForums Tanzania Annaandika Bagonga: Mfumo wa tiketi unahujumiwa na wenye mabasi

    Hata hawajali, kwani hasara inawahusu basi?
  12. mjanja wa kijiji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Sijutii Kauli Yangu" - Mbunge Ndindi Nyoro Apigwa Marufuku Kuingia Bungeni

    Wabunge wote ni ndiyo mzee, hakuna mwenye jeuri ya kukosoa au kurekebisha.
  13. mjanja wa kijiji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Sijutii Kauli Yangu" - Mbunge Ndindi Nyoro Apigwa Marufuku Kuingia Bungeni

    Nilifikiri ni Tanzania ningeshangaa sanaa.
  14. mjanja wa kijiji

    JamiiForums Tanzania Nilikopa Sh 5M kutoka Bayport, nimekatwa kwa miezi 6, nimeomba balansi wanasema imebaki Sh 9M, kivipi?

    Huyo Bush Dokta ni matacore anapenda kudandia nyuzi za wanaume.
Back
Top Bottom