Ukiachlia Tanga na Sehem nyengine.Zanzibar ndo sehem pekee wanapopatkana kwa wingi.
Wanapatkana maruhubi,Bububu(Ngalawa),Fujoni n.k
Bei zake ni kati ya 3500-5000tsh@1kg kwa bei ya jumla.
Namna ya usafirishaji ni kuna Agent unamkabizi mzigo wako na kiasi atakachokuambia.we unasbiria dar.
Nunua Dagaa nyama(dagaa mchele) wa baharini kwa jumla na ukauze kwa jumla na rejareja.
1kg=Tsh.4000 @wholesale.
Wewe unaenda uza Tsh.5500@wholesale.
Reja reja unauza 1kg=6000 - 10000.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.