Natafuta kiwanja Arusha

Natafuta kiwanja Arusha

Ingependeza ungesema unataka kiwanja ukubwa gani(square metre ngapi) na ungependelea maeneo gani ktk jiji la arusha ili tukuelekeze.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na umejipanga kwa sh ngapi kutokana kuna maeneo kiwanja huwezi pata labda uwe na million 50 na kuendelea ila kuna maeneo hapa hapa ndani ya jiji hata kwa million 5 unapata kiwanja cha kujenga so kuna utofauti kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wakuu wa makuhani. Hongereni na ibada za jumapili.

Natafuta Plot ya makazi Jijini Arusha. Napenda iwe maeneo yaliyopangiliwa. Sitaki makazi duni. Umbali usizidi 15 Km kutoka City centre.

Pia kama unafahamu kama kuna viwanja vya Jiji vinauzwa pia itakuwa vizuri sana maana hivyo huwa vina bei nzuri sana.

Naomba msaada wako
Kipo Mkuu.
Kambi ya pili 20x20@8M.
500m kutokea dar road.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wakuu wa makuhani. Hongereni na ibada za jumapili.

Natafuta Plot ya makazi Jijini Arusha. Napenda iwe maeneo yaliyopangiliwa. Sitaki makazi duni. Umbali usizidi 15 Km kutoka City centre.

Pia kama unafahamu kama kuna viwanja vya Jiji vinauzwa pia itakuwa vizuri sana maana hivyo huwa vina bei nzuri sana.

Naomba msaada wako

Habari yako mkuu.
Ninacho kiwanja Moshono Kiserian, dimensions 38 meters by 22 meters (836 sqmts). Kiwanja kipo 2.5km from Moshono Road - Kona ya Kiserian, 140 meters from the main road, 300 meters from EAC Road round about. Maji "AUWSA" na umeme "TANESCO" ni wa kujivutia tu. Good view of T. Meru & Mt. Kilimanjaro. 10km from Arusha Clock Tower.
GPS Coordinates: (-3.433259,36.741904) / (3°25'59.7"S 36°44'30.9"E)

Bei: 18,500,000/=
Contacts: 0716-904626 / 0767-174757.

b.jpg

Hii.jpg

20180611_183924.jpg

20180611_183916.jpg
 
Back
Top Bottom