Recent content by MJ Dannie

  1. MJ Dannie

    Kilimo cha Nyonyo (Castor Oil): Ushauri na Masoko.

    Nashukuru sana mkuu kwa hii helpful comment. Naomba kuuliza pia, inachukua mda gani kutoka uotaji wake mpk uvunaji?
  2. MJ Dannie

    Kilimo cha Nyonyo (Castor Oil): Ushauri na Masoko.

    Picha kwa hisani ya Google.
  3. MJ Dannie

    Kilimo cha Nyonyo (Castor Oil): Ushauri na Masoko.

    Habarini za mchana wanaJF, naomba msaada wa hiki kilimo. Nahitaji kufahamu ni wap kinastawi vizur kwa Tanzania, ulimaji wake, dawa, mbolea, mavuno etc. Natanguliza shukrani.
  4. MJ Dannie

    Center kwa ajili ya pre-form 5, wanaorisiti na masomo ya tuition jion

    EKU345 Academy ni center iliyoko Mwenge nyuma ya TRA na inatoa huduma zifuatazo; 1. Pre-Form 5 kwa combinations zote. 2. QT (1&2) pamoja na Reseaters 3. Tuition kwa wanafunzi wanaosoma day. 4. Revision kwa wanaofanya Interviews ya kuingia Form 5. Ada zetu ni nafuu sana, kwa maelezo zaidi piga...
  5. MJ Dannie

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Unadeposit na kuwithdraw kwa kutumia method ipi and how long does it take?
  6. MJ Dannie

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Hivi pepperston kwenye kudeposit na kuwithdraw hana usumbufu?
  7. MJ Dannie

    Forex : Mirejesho imepungua mno kulikoni?

    Ukiingia Forex na ukaanza kutrade live huwez kupata mda wa mwing wa kuja huku JF, even kulala. Mtu unawaza PIPS tu and people are making a lot of money. And by the way, now kuna magroup ya watsapp for which kila siku watu wanatuma screenshots. We kaaga tu huku kutaka mrejesho
  8. MJ Dannie

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Pole kwanza, pengine hukua sehem sahihi au hukua trained vizur. Quitting haitakusaidia, take your time and do some research kuhusu AIM Global au nichek (0659426390) nitakusaidia kukufafanulia, kama ulishawah kujihusisha na network marketing before utakubaliana na mimi kua this one is very...
  9. MJ Dannie

    Kauli za Rais Magufuli zinajichanganya, lazima kuna tatizo mahali

    Wale wanamteteaga wako wapi, natamani nione hoja zao
  10. MJ Dannie

    Una Idea ila kuiweka sokoni inakuwa vigumu? Tengeneza wajinga wengi sana akilini mwako na utatoboa

    Mtoa mada kwa nilivyomuelewa anamaanisha hyo TENGENEZA WAJINGA WENGI SANA kwa maana ya uwe na uhakika wa MARKET OPPORTUNITY. What i can say ts a bad choice of word, linaleta ukakasi hlo neno ndo mana kuna wengne wanacomment tofaut na maana kuu iliyodhamiriwa kwny hii thread. Mtoa mada ungeedit...
  11. MJ Dannie

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    U dont know anything about me, Robert Kiyosaki kwny Rich Dad, Poor Dad alisema "Most of poor people are poor because they CRITICIZE instead of ANALYZE". Uwe na asubuh njema mrs sam.
  12. MJ Dannie

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    I disagree with u, mistake kubwa watu wanafany ni kujoin kipind ishakaa sana na apo ndo kwnye risk kubwa kwa sababu network marketing after some time ina-collapse. Alliance In Motion Global inakua officially launched this month, this is the right time to join dont wait till 2023 ndo ujoin...
  13. MJ Dannie

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    As u said zina wenywe so kumbe sio uongo. Urekebishe maneno yako tafadhali, afu kufel kwako haimanish na wengine watafel.
Back
Top Bottom