Recent content by mizdo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Aptitude Test UAP Graduate Program

    Mmmh mi mwenyewe nimetumiwa hiyo email ila bado sijafanya any assignment
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa

    Malipo kwa muda gan..miez sita o mwaka?
  3. M

    JamiiForums Tanzania i pod apple 64gb inauzwa

    guarantee muda gan?
  4. M

    JamiiForums Tanzania i pod apple 64gb inauzwa

    mi nataka kwa hyo bei
  5. M

    JamiiForums Tanzania Lead Generator Barclays kuna matumaini au tuangalie usawa mwingine

    jaman tuache kukatishana tamaa,ndio tunajua kaz ngumu wenyewe walisema kwenye interview so mtu ulikuwa na option ya kukubali o kukataa...mwanzo mgumu bora 70,000 kuliko kukaa nyumban bure
  6. M

    JamiiForums Tanzania Lead Generator Barclays kuna matumaini au tuangalie usawa mwingine

    walioitwa ni cashiers jaman..lead ni wik ile ijayo..nimeambiwa na hr mwenyewe so tuwe wavumilivu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Masundosundo mwilini na sehemu za siri (Genital & Skin Warts)

    nimevutiwa na hii topic...mim nilishawah pata genital warts nikatumia dawa inaitwa podosal paint vikaisha..je ninaweza nikawa kwenye hatar ya kupata kansa ya kizaz?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Lead generator barclays kimyaa....

    bado...vip umesikia chochote
  9. M

    JamiiForums Tanzania Lead generator barclays kimyaa....

    jaman kwa tulioambiwa tupeleke vyeti na vtu pale barclays then tusubir kuitwa vipi mbn kimya...mwenye news yoyote tujulishane..
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta hizi series za kikorea

    mim pia nahitaji hzo za kwenye external yako@bigboi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaosoma CPA module E mlioko Morogoro

    Kuna review zinatolewa pale pamba house first floor panaitwa EMAC na walimu wa Mzumbe check this no.0753 891744 anaitwa Mr.Malubi
  12. M

    JamiiForums Tanzania nimeitwa kwenye interview ya lead generator barclays ni maswal yap nijiandae kuulizwa

    jaman wana JF nimeitwa kwenye interview barclays jtano position ya lead generator kwa anayejua anisaidie nijiandae kuulizwa maswal gan?
  13. M

    JamiiForums Tanzania natafuta used laptop nzuri

    wana jamvi kwa yoyote anayeweza nisaidia pata laptop used kwa tsh.350-400 within this week pliz pm me!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Employment and how to start part time Business, the only solution for employees to win.

    Am interested with those free email guidance please how do i get them....
  15. M

    JamiiForums Tanzania Jaman nisaidien tcu wameninyima tena chuo

    Najaribu ku login naambiwa login failed
Back
Top Bottom