nimeitwa kwenye interview ya lead generator barclays ni maswal yap nijiandae kuulizwa

mizdo

Member
Jun 17, 2013
21
3
jaman wana JF nimeitwa kwenye interview barclays jtano position ya lead generator kwa anayejua anisaidie nijiandae kuulizwa maswal gan?
 
Ndugu nimefanya hyo interview jana nimehojiwa kwa dakika 45 mpk nikakereka maswali ni general, kurelate kazi yako ya sasa na sales, how unafit kwny sales, jiandae watakulabithi kitu ufanye kama kuwauzia
 
Back
Top Bottom