Recent content by Mizchief

  1. Mizchief

    Njia pekee ya kuleta amani Kenya ni ku-deal na Odinga bila kudekezwa

    Aguswe tu ndio utatambua huyo jamaa ni nani. Unafikiri UDA battalion nzima na askari mbona hawajamkamata hadi wa leo? Wanabwabwaja wakifoka eti, " Tutamkamata, tutamshughulikia, tutamfung,a bla bla bla.....". Wanajua wakimgusa tu, kwishnei.
  2. Mizchief

    Njia pekee ya kuleta amani Kenya ni ku-deal na Odinga bila kudekezwa

    Kwanza kabisa, Ku_deal na Rails kwa kumuondoa kabisa in wazo ambalo halipo. Akuguswa tu, patakuwa hapatoshi hapa Kenya, na sio utani. Pili, siasa za Raila zinahujumu siasa za Ruto za Bottom-Up. Kipindi cha kampeni, Ruto alisema akishaapishwa na kuweka Biblia chini, atashughulikia mfumuko wa bei...
  3. Mizchief

    Majirani, je kwa bei hizi mpya za internet, TZ bado tuna nafuu au tumekuwa de-throned

    Hii ndivyo bei za vifurushi vya Safaricom. Hata mimi niliporudi nyumbani mwezi mmoja uliopita nilishangaa sana! Kibongobongo, zidisha hizo bei na 20/= utapata bei ya Tzs.
  4. Mizchief

    Nimeshangaa kule Tanzania kumbe kuna shule za serikali ambazo ni English medium,. Wenzetu mbona huwa wanajikanganya hivi?

    Yuko poa ingawa namfanyia coaching nyumbani. Isingekuwa hivyo, anfefanya madudu tu shuleni kwa sababu pia sio walimu wrote wako poa kiingereza. Wengine wanalipua tu.
  5. Mizchief

    Kenya WSR 2021 Rally

    Now, this is The Safari Rally Kenya climax moment.....
  6. Mizchief

    Kenya WSR 2021 Rally

    And more.....
  7. Mizchief

    Kenya WSR 2021 Rally

    Another epic Safari moment.....
  8. Mizchief

    Kenya WSR 2021 Rally

    This is Kenyas's Safari Rally.......
  9. Mizchief

    Tanzania yaingiza baridi, haitotuma JWTZ kuisaidia Msumbiji licha ya mashambulizi kuwaathiri pia

    Piracy: Kenyan Forces Deal Blow to Piracy The pacification of vast swathes of the Southern Somali region which led to the ouster of terrorist group Al Shabaab from Kismayu by Kenya Defense Forces (KDF) has dealt a severe blow to piracy in the region. The Kenya Defense Forces entered Southern...
  10. Mizchief

    Tanzania yaingiza baridi, haitotuma JWTZ kuisaidia Msumbiji licha ya mashambulizi kuwaathiri pia

    Je, unafahamu idadi ya meli zilizokuwa zinatekwa na ma-Al'Shabaab kwa mwezi? Na watalii waliokuwa wakitekwa na kukimbilia Somalia, kisha kuitisha ransom ya mamilioni. Hi iliathiri pakubwa sekta ya utalii. Sasa hivi je, unawasikia? Ndio, kuna changamoto wanajeshi wetu kuuawa, lakini in hatua...
  11. Mizchief

    Tanzania yaingiza baridi, haitotuma JWTZ kuisaidia Msumbiji licha ya mashambulizi kuwaathiri pia

    Hapo ndipo inapofikia Bongo inabidi waseme Kenya tumejitahidi sana. Kupigana na majamaa kwenye guerilla warfare sio jambo dogo. KDF wamejitahidi sana.
  12. Mizchief

    Tanzanian Officials are Airlifted to Kenya for treatment

    Bado wabishi wanabisha tu. Hapa AMREF wanasemaje? Tulishawaambia lakini hamkusikia. Bado mnatulaumu tu,........
  13. Mizchief

    Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na kuenea kwa Corona

    Sisi Wakenya tulishawaonya mapeeeeeeeeeeema................ Hamkusikia.
  14. Mizchief

    Nimeshangaa kule Tanzania kumbe kuna shule za serikali ambazo ni English medium,. Wenzetu mbona huwa wanajikanganya hivi?

    Hizo shule hapa Bongo zipo. In fact binti yangu anasoma kwenye Gov't English Medium school ila sasa tatizo, quality of education ipo chini sana. Kingine ni idadi ya wanafunzi wanaosoma kwenye hizi shule kwa kila darasa ........... wueh!!!!!!!!! Acha tu!!!
  15. Mizchief

    Good News For Tanzanian Woman With Strange Growth as Governor Ngilu Intervenes

    UPDATE After more than 8 hours of surgery, I am pleased to report that the maxillofacial operation done at Kitui Referral Hospital to correct the growth on Ms. Pendo Masonga’s face was a success! We thank God . Ms Pendo will now recuperate under close monitoring by the doctors Daily...
Back
Top Bottom