Tanzanian Officials are Airlifted to Kenya for treatment

Geza Ulole joto la jiwe wacheni kujifanya kwamba hamjaona habari hii. Malazy bwana eti mnapiga nyungu. Dah! Nyungu itawauwa, it is not a scientific cure for corona. Mpo lazy hata kufikiria kunawashinda. Halafu huyo mtu aliyeforge Phd ya chemistry anawadanganya eti mpige nyungu mtapona. Sasa wakubwa wenu wanaletwa Kenya ili kuokoa maisha yao. CCM is a curse.
hatimaye umeleta zaga zako jukwaa la siasa.

karibu jf naona umepata likes nyingi kuliko post yoyote tokea umejiunga social media.

Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
 
MUDA MWINGI NILIPOTEA SIKUFAHMU MSALABA WALA ALIENIFILIA KWA CALVARY

HIOOOO REHEEEEEMAAA BUREEE NA NEEEMAAAA MSAMAHAAA NAOOO NILIPEWAAA NDIPOOO ALIPONIFILIA KWA CALVARY

REHEEEEEMAAA REHEEEEEMAAA BUREE NA NEEEMA MSAMAAHA NAO NILIPEWAAA NDIPOOO ALIPONIFU GUA KWA CALVARY

KWA NENOO LAKE BWANA MUNGU NILIJION AA MM MU NIKAGEUKAAA NA KUTUB U KWAAA CALVARY

REHEEEEEEEEMA...X2


TUSIANGALIE YANAYOTOKEAA TUMWOMBE MUNGU ATUONYESHE WAPI TUMEKOSEA LANGO LIKAPITA

MUNGU ANAHITAJI MMOJA KUMLILIA NA KUTUBU SABABU YA NCHI YETUU

TOBAAAA TUTUBU ASBH MCH JION

MUNGU ANAONA MM NA WEWE TUMLILIE MUNGU KWA DUNIA NZIMA NA NCHIYETU

MUNGU UTUREHEMU TUNATUBU KWAKO KWAAMBOYETU WENYEWE EE MUNGU KTK JINA LA YESU KRISTO TUMEJIFUNZA TAIFA MOJA LIKIPATAA SHIDA LINGINE LINATESEKAAAA

TUJALIE TUWE.NA MOYO WAKUKUTAFUTA WEWE HATA KWA KUPAPASAPASA EE. BWANA NALIOM A TOBA TAIFA LA TANZANIAAAA
USIANGALIE DHAMBI ZETU ANGALIA REHEMA ZAKOO TUPONYE NA MAGONJWA YOTE KTK JINA LA YESU KRISTO ANAZARETH

AMEN
 
Weee unatafuta nini huku,
Nenda kaongelee mambo ya bbi kule kibera. Mambo ya waTanzania waachie waTanzania wenyewe wajadiliane . Wewe hayakuhusu.

Hehehe wacha kuchekesha bana, kwani babako ana ubia na JF upangie nani apost wapi, wewe wakati huwa unarandaranda kwa kila taarifa za Kenya huwa umetumwa na nani....
 
Eeeee bhana eeee !! Sisi Mlongazila , wao Agha Khan Kenya !
Ndiyo watanzania wajue kuchanganya akili zao. Hata huko Mloganzila ni wachache mno. Wengi wanaambiwa wajifukize. Utasikia ''hata covid inatibu, madaktari ndiyo wanayoitumia''. Wao ikiwapata hawajifukizi na wanaenda hospital nzuri.
 
Kuna mtu alisema watanzania si wajinga,lakini kwa kuwa na yeye ni mtanzania kauli yake inakinzana na matendo yake huku yeye akiwa ndio yuko mstari wa mbele kwenye ujinga
 
Hehehe wacha kuchekesha bana, kwani babako ana ubia na JF upangie nani apost wapi, wewe wakati huwa unarandaranda kwa kila taarifa za Kenya huwa umetumwa na nani....

Sikiliza wewe mwanamke na wala usinichekee kwa maana sikutongozi, ukiona wanaume tunajadili mambo ya ukoo wetu. Huna haki ya kujadili. Wewe umeolewa tu kwa mahali na waTanzania. Usijifanye kujua sana. Huna kitu cha kuchangia. Kaa kimya. Labda kwa sababu Kenya kwenu huko hakuna MIIKO. Ukome. Tena ukome kuja kwenye jukwaa hili na kujifanya wewe ndiyo unajua kutuelekeza cha kufanya. Pumbaf kabisa.
 
Halafu unaambiwa ICU zimejaa kumbe zimefurika wageni ilhali wazawa tunajifia, hii sasa imekua biashara maana akija bwenyenye mwenye hela yake kutokea Dar, atapewa mashini bora ashushe hela za kutosha, huku wengine tukiambiwa zimejaa.
Utakuta mpaka wanakuja kutokea Burundi maana na huko pia huwa wanajikweza kwamba hawana corona.
Wewe kunya kunya wasitibiwe hapa Tanzania waliposheheni madaktari vichwa, wakatibiwe hapo kibera ili wakafe kwa harufu ya vinyesi....mbona mnapenda sana kiki za kijinga. Watu wenyewe mmejaa ufukara hata kula ni shida, na safari hii hakuna kuja kugongea mahindi.....endeleeni kujifungia ndani na huyo mvuta bangi wenu..
 
Ujamaa system siku zote huwa laana, watu huwa wameshikiliwa akili na hakuna mwenye uwezo wa kufikiria, wenye hela zao wanafanya yao ila maskini na walalahoi wanapigwa sounds za uzalendo, yaani watu wazima wenye mindevu wanakubali kuamini kwamba hamna corona kisa rais katoa tamko kwamba haipo.

Mpaka sasa utakuta matajiri wengi wameshatoka nje na kuchanjwa kimya kimya ila maskini wanaendelea kuambiwa waimbe mapambio ya hakuna corona Tanzania, tumeishinda corona, imeshindwa na haijawahi kuwepo.

Kule jukwaa la siasa humu JF naona nyuzi za tanzia mwanzo mwisho yaani hali mbaya ila jamaa wameshupaza shingo, utakuta watu bado wanabanana kwenye midaladala na kupumuliana kisa waliambiwa corona haipo.
Acha ufala wewe kwani nani kasema hakuna corona wakati kila siku viongozi wanatoa miongozo jinsi ya kujilinda. Hadi muone mnafaidika kiuchumi kwa uzushi wenu wa corona ndio mioyo yenu itatulia. Kwani kwenda kenya wao wana dawa kama sio kujaribu corona kuipiga vita serikali ya ccm. Mumeshindwa na mtashindwa tu hadi mwisho. Mlaaniwe wezi na wanyonyaji nyie.
 
Bado wabishi wanabisha tu. Hapa AMREF wanasemaje?


Tulishawaambia lakini hamkusikia. Bado mnatulaumu tu,........

 
Sikiliza wewe mwanamke na wala usinichekee kwa maana sikutongozi, ukiona wanaume tunajadili mambo ya ukoo wetu. Huna haki ya kujadili. Wewe umeolewa tu kwa mahali na waTanzania. Usijifanye kujua sana. Huna kitu cha kuchangia. Kaa kimya. Labda kwa sababu Kenya kwenu huko hakuna MIIKO. Ukome. Tena ukome kuja kwenye jukwaa hili na kujifanya wewe ndiyo unajua kutuelekeza cha kufanya. Pumbaf kabisa.

Hehehe safi sana imekuingia, siku nyingine usipangie watu nini cha kusema humu au wapi pa kupost maana babako au mamako hakuna mwenye ubia na JF, wewe ukifaulu kupata MB za kuunga unga na kuingia humu, changia mada kama unavyozikuta........
 
Back
Top Bottom