Habari za muda huu wana jamvi?
Nimejaribu kuangalia kwa makini sana juu ya jambo hili la ushoga linavyoleta vuta ni kuvute katika ulimwengu. Nimejaribu kuangalia pande zote, za watetezi na wapingaji wa jambo hili.
Jambo limeleta mivutano mikubwa sana haswa kwa nnchi zetu za africa. Naona kuna...
Mmetisha wakuu. Kwakweli nawashukuru wote mlio chukua muda wenu kunishauri juu ya jambo hili. Jambo limetiki, kila mtu aliyejaribu kuandika hapa amesaidia kwa namna moja au nyingine. Hakika Jamii forum ni msaada sana. Asanteni sana.
Habari za saa hizi wadau.
Samahani, kwa wale wenye hujuzi wa Skrill naombeni mnisaidie, Ni document gani unakumbuka uliwasilisha kwenye kipengele cha Adress Verification na wakakubali. Maana kila document ninayowasilisha wananikatalia.
Naomba ambaye aliwahi kulifanikisha hili alishauri...
Habari za wakati huu wana JF?
Binafsi nimekua muumini mkubwa sana wa hii dhana tena sana, jambo la kushukuru mungu inajidhihirisha kwenye maisha yangu siku adi siku.
Ngoja niwape kisa kidogo kilichonitokea kutoka kwa shemeji yenu. Jana bwana nilipigiwa simu na mke wangu. Mke wangu tunatimiza...
Hakuna zaidi ya kupambana kaka. Kaka paka utoboe, mbilingembilenge zinakua nyingi sana. Muhimu Mipango, dhamira ya kutimiza, uvimilivu na kujipa moyo wa kusonga mbele zaidi pamoja na changamoto unazokutana nazo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.