Recent content by mivumoni

  1. M

    NBC kuwa bank bora Tanzania na nje ya Tanzania

    Mtoa hoja unaishi ulaya nn? NBC ndio bank inayoongoza kutojali wateja, nenda kwenye branch utaona kwakuanzia tembelea tegeta branch kwa dar,
  2. M

    Ushauri kwa waislamu Tanzania, hasa walio mtandaoni

    We muislamu mwenzangu kipi ambacho hujaelewa kwenye huo ushauri tuliopewa? Acha ufia dini jibu fact, weka point hizo hela wanapewa na nani ? Factor ni elimu, afya na mahakama ulitakiwa uelezee kipi sisi kama waislamu tunatakiwa tupiganie sio unalalamika tu,
  3. M

    Ushauri kwa waislamu Tanzania, hasa walio mtandaoni

    Sisi waislamu wala hatuiitaji hiyo mahakama sijui wakina nani wanataka kutuharibia uislamu wetu, mpaka kuna muda huwa nashangaa hizi mada zinatoka wapi coz hata Msikitini kwenu huwa hatuizungumzii hiyo mahakama, asante kwa ushauri mtoa mada
  4. M

    James Rugemalira ana biashara lukuki, akimpa mtu hela si lazima iwe ya ESCROW

    Mungu saidia Tanzania' vilaza ni wengi mno
  5. M

    Asante sana Ngeleja

    Mtoa mada unajikakamua kuandika hata vyakuandika huvipati' hata kama ngeleja mjomba usikubali kujizalilisha kuandika upuuzi' tafuta hela kwa njia nyingine
  6. M

    Tofauti ya Rais wa Marekani na Wa Tanzania: kujibu hoja

    Sisi tuna majanga siyo raisi' Mungu atusaidie watanzania tujue kuchagua watu kwenye upeo na akili yakuongoza nchi ila kwa huyu tuliingia cha kike
  7. M

    Wazee wa Dar es Salaam ni akina nani?

    Hiyo ndio sign ya uwoga kwakuwakimbilia wazee' wazee wenyewe sifa uwe na kadi ya chama' kwann asitafute makundi mengine aongee naye
  8. M

    Wakazi wa Dar kuibeza na kuiponda CCM ni makosa makubwa

    Mtoa mada unaijua hiyo Dar es salaam au huwa unakuja unaishia ubungo
Back
Top Bottom