Recent content by miviga

  1. miviga

    JamiiForums Tanzania Ni tabia gani ya rafiki au mpenzi wako ilikushangaza mlipoanza kuishi pamoja?

    Wangi tulikaa uchumba muda mrefu, so tulizoeana na kujuana, moving in together did not come with mych suprise at all
  2. miviga

    JamiiForums Tanzania Ni tabia gani ya rafiki au mpenzi wako ilikushangaza mlipoanza kuishi pamoja?

    Hhhh kumbe kuna utaratibu maalum? ,
  3. miviga

    JamiiForums Tanzania dental formula yako inavutia? Leo nimeambiwa nina dental formula nzuri

    Haszu ni mwanamke anaejifanya mwanaume. So strange
  4. miviga

    JamiiForums Tanzania Jamani hebu tujadiliane, Mama Samia alianza vizuri sana katika utawala wake-what happenned?

    Utamu ulimkolea + kiburi alichonacho, mambo yakajipa, nothing else
  5. miviga

    JamiiForums Tanzania Mfano wewe mume ndio ungekua mke, ungekua mke bora kwa mume wako kama wewe unavyotarajia?

    Kuna namna una sound logical ila historia yako inafanya niwe na mashaka
  6. miviga

    JamiiForums Tanzania Sio tendo la ndoa ni "ngono"

    Ngono+ kutombana anaweza fanya yoyote, ila cha halali ni tendo la ndoa. Ni mbinu ya kuonesha nani anatakiwa kulifanya.
  7. miviga

    JamiiForums Tanzania Mwaipopo ni Muislam mwenye Misimamo Mkali, Mjinga asiyekua na akili , Mwenye Chuki na Ukristo , aliyeshindwa kujifunza Somo kupitia SHEIKH MAJINI .

    Wewe hujui waislam wenye msimamo mkali, yule anatumika tu na anaowatumikia
  8. miviga

    JamiiForums Tanzania Mlioajiriwa mnakabiliana vipi na changamoto ya kurudia jambo lilelile (Monotony)

    Bahati mbaya au nzuri mambo mengi ni yale yale ila yanakua na situation tofauti, Hata sex ni vile vile unaingiza unatoa kinachobadilika ni style tu.
  9. miviga

    JamiiForums Tanzania Dudubaya: Natamani Waziri Dkt. Dorothy Gwajima aje kuwa Rais baadae

    Mbali na ku interact na genz huyu bi mkubwa ni mweupe na yupo ki local saba, hana haina ya maono makubwa ya dunia ya sasa.
  10. miviga

    JamiiForums Tanzania Muonekano wangu mzuri umenipatia vitu ambavyo nguvu na akili visingetosha

    Hhhhhhh, Oya, hii mpya hii Mbaga Jr , Ninampango nikusanye hizi panchline
  11. miviga

    JamiiForums Tanzania Muonekano wangu mzuri umenipatia vitu ambavyo nguvu na akili visingetosha

    Vijana ukiwakalia vibaya tu wanakupa msemo wako
  12. miviga

    JamiiForums Tanzania Muonekano wangu mzuri umenipatia vitu ambavyo nguvu na akili visingetosha

    Nami nasema computer haina RAM, haiwaki
  13. miviga

    JamiiForums Tanzania Muonekano wangu mzuri umenipatia vitu ambavyo nguvu na akili visingetosha

    Hii comment imenichekesha sana, sijui hii misemo mnatoa wapi.
  14. miviga

    JamiiForums Tanzania Kuna Maiti inadaiwa kuokotwa kwenye mtaro, Mwenge Coca-Cola road mkabala na Natai Plaza ikiwa imetolewa macho

    Kabisa, jamaa wako kimasilah yao, hawako na nia ya dhati ya kuimarisha nchi
Back
Top Bottom