Recent content by MIUNDOMBINU

  1. MIUNDOMBINU

    Picha inayotia huzuni kuhusu mapambano ya corona africa

    Hii imenihuzunisha sana
  2. MIUNDOMBINU

    Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

    Bora Siku hizi kuna hata hizo Duplicator za milango 5, na printer za epson zilizo na original CISS. Mkuu zamani tukikuwa tunatumia desktop computer ku Burn CD CD moja moja, na HP kuprint CD moja moja . Nero ndio ilikuwa kiunganishi mhimu hapo Sent using Jamii Forums mobile app
  3. MIUNDOMBINU

    Tarehe 6 January 2020 natazamia kutuma Radio Signals katika sayari ya Vesta

    Wewe Jamaa tunaanza kukutilia Mashaka sasa!. Sio bure mkichwa yako Sent using Jamii Forums mobile app
  4. MIUNDOMBINU

    Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

    Mwana mbona hiyo ilikuwa simple tu[emoji854] Sent using Jamii Forums mobile app
  5. MIUNDOMBINU

    Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

    Dah pole sana Sent using Jamii Forums mobile app
  6. MIUNDOMBINU

    Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

    Pole swahiba Sent using Jamii Forums mobile app
  7. MIUNDOMBINU

    Pentagon is ready to destroy Iran atomic bomb

    Wale wote mnaoshabikia Vita , hakika hamjui madhara halisi ya Vita.Usiombee Vita!. Ikitokea vita ya Irani na Marekani kila mtu Dunia itamuathiri, mfano tarajia lita moja ya Petroleum kuwa Tsh 3000. Tarajia mabadiriko ya Kitabia nchi, tarajia inflation ya bidhaa kutoka usa,china,uae, nk. Ndg...
  8. MIUNDOMBINU

    Nimefilisika jamani

    Pole sana Sent using Jamii Forums mobile app
  9. MIUNDOMBINU

    Mdada akiambiwa Afikirie apewe shingapi?

    Haha Haha [emoji16][emoji38][emoji38][emoji38]
  10. MIUNDOMBINU

    Nataka kutengeneza milioni 100tsh!

    Umenifurahisha eti Bank wangetoa mkopo kwa kuweka rehani/Dhamana ya Roho [emoji16][emoji16][emoji16][emoji38], Siku ukishindwa kulipa wanakuua au ?
  11. MIUNDOMBINU

    Nahisi kuchanganyikiwa msaada please

    Badirisha kwanza ID yako "Mburukenge" mkubwa.
  12. MIUNDOMBINU

    Wenye madeni makubwa na hatujui tutayamalizaje tuliwazane hapa

    [emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji16][emoji16] Duh nimecheka bila kutarajia Loh!
  13. MIUNDOMBINU

    Yule Professor Aliyetuita watanzania washamba yuko wapi ?

    Mhe. Profesa Muhongo amewahi kusema kwamba Watanzania ni wavivu wa kufikiri, wavivu wa kusoma na washamba sana katika masuala ya uwekezaji na kwamba uwezo walionao Watanzania ni kuuza juisi au soda. Mheshimiwa popote pale ulipo, Mungu anakuona na atakuhukumu kwa matusi yako kwa wa Tanzania!. .
Back
Top Bottom