Recent content by mitorowindo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo: Kuna foleni kubwa katika barabara ya Nyerere, tatizo ni nini?

    Barabara ya Nyerere road ni ipi hiyo?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza bei ya kuuzia pamba 2018/2019

    Hiyo ni bei elekezi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Temeke kujenga nyumba 500 na kuziuza kwa wananchi kwa bei nafuu

    Ndugu wamesema hizi pesa zimetengwa kwa miradi mbalimbali ikiwa ni pamoja na kujenga nyumba 500 za bei nafuu na siyo kwamba wanataka kujenga nyumba moja kwa sh milioni 500
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa mshahara

    Mbona mimi nimepata
  5. M

    JamiiForums Tanzania NMB Salary Advance acheni wizi

    Mimi kwa uelewa wangu ni kwamba unapewa hadi 40℅ ya take home yako lakini ili kujua 6℅ ni kiasi gani basi utachukua hiyo 40℅ ambayo sasa itageuka kuwa 100℅ unapotafuta hiyo 6℅ kwa mfano mkopo wako ni 500,000 kama take home yako sasa 40℅ ya 500,000 itakuwa ni 200,000 kwa hiyo utatafuta 6℅ ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jerry Murro yupo kwa TB Joshua

    Unakumbuka nywele nyeupe naye alikwenda mbona humtaji
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni hali mbaya ya uchumi? Mpaka sasa Serikali bado haijalipa mishahara ya mwezi huu!

    Mimi c mtumishi wa chama ni mtumishi wa serikali na mshahara nilishapata tarehe 23 jioni nashangaa wewe ni mtumishi wa wapi unalalamika humu jf as if mishahara wanatoa humu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni hali mbaya ya uchumi? Mpaka sasa Serikali bado haijalipa mishahara ya mwezi huu!

    Kuna watumishi wa serikali wengine ni shida kama kuna vitu ambavyo serikali hii imejitahidi kufanya ni kulipa mishahara kwa wakati na ifike mahali tusiandike vitu vya kijinga kama hivi inaonesha namna gani akili zetu zilivyo kama mshahara umekuwa ukitoka kila tarehe 22-23 unalalamika nini mbona...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Simba msisikilize kelele za majirani zetu

    Leo unamwona mzee Akilimali kama mtu anayeujua mpira?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nimehamishwa kutoka kufundisha Sekondari na kupelekwa primary kisa sielewani na mkuu wa shule

    Nenda kspige kazi mshaambiwa maslahi yenu yanabaki pslepale tatizo walimu wa sekondari mnapenda sifa mbona hamna chochote huko
  11. M

    JamiiForums Tanzania Simba kushuka dimbani na Al Masry ya Misri tarehe 6 na 16 Machi 2018

    Simba imewatoa waarabu mara ngapi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwakyembe ataja viwanja vitatu AFCON 2019 kwa vijana chini ya miaka 17

    Wawapeleke pia bunju complex
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wanasoka wanaopewa kick sana kuliko uwezo wao

    Yupo yule beki wa kushoto
  14. M

    JamiiForums Tanzania Huyu alikuwa ni hazina ya CHADEMA

    Thamani za ofisi ni nini
Back
Top Bottom