Recent content by Mitonyo mirefu

  1. M

    Wanaume waheshimiwe milele

    Amen. Tunamshukur sana kwa baraka zako. Nanyi pia Mungu awabariki coz bila nyie hatuwezi kukamilika.
  2. M

    Kwanini habari za Mgombea Urais wa CHADEMA zinaonekana kuwagusa makundi ya watu wengi?

    Aisee mtoa mada umenigusa sana, hata mimi huwa nikisoma magazeti attention inakuwa kwa Prezda Eddo. Cku atakapotangazwa nitasherekea sana aisee. Mungu tunaomba ututimizie ndoto yetu ya mabadiliko kupitia Eddo🙏🏿.
  3. M

    Kutoka viwanja vya Sinoni-Arusha: Mkutano wa Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Okt 8, 2015

    Kila la kheri prezidaaa Eddo. Mungu awe nawe ktk kutuletea Tanzania Mpya 🙏🏿
  4. M

    Rais Kikwete ateua Wakuu wa Wilaya 13 wapya, ahamisha wengine 7

    Mmh nashingaa hata kushingaa kwa uozo huu unaoendelea kufanyika waziwazi. Wananchi tuseme sasa basi😭
  5. M

    Dkt. Slaa katika uzinduzi wa jengo la kuhifadhia madawa CCBRT

    Kweli siasa ni umiza kichwa, leo Dr.Mihogo amegeuka swaiba wa JK😒😇
  6. M

    Hadi Fid Q? Nimebaki kuduwaa

    Tatzo la wasanii wetu wana njaaa sana, ndo maana wanashindwa kusimamia hata misimamo Yao. Poor Fid Q
  7. M

    Lowassa anastahili kuzawadiwa "Certificate of Merit in Political Tolerance and Political Maturity"

    Zawadi pekee anayostahili ni kuingia ikulu na kutuletea Tanzania Mpya. Viva mh Raisi, Edward Ngoyay Lowassa ✌🏿️✌🏿
  8. M

    GE2015 Freeman Mbowe atoa msimamo mzito kuhusu wanaoasi mageuzi

    Ccm ikubali tu kuwa wananchi wameichoka, iachie nafasi kwa UKAWA watuletee maendeleo.
  9. M

    Mbowe asalimu amri kwa Slaa

    Propaganda za Lumumba katika ubora wao. Ccm hamna chenu tena inatosha kwa upuuzi mliofanya, Tanzania imebaki mifupa tu, minofu yote mmekula. Kwa sasa basi ni wakati wa mabadiliko LFP(Lowassa For President).
  10. M

    Nimeshangazwa na mengi lakini Kinana kavunja Rekodi

    Hivyo kweli ni vioja vya karne. Bila UKAWA hakuna Tanzania mpya.
  11. M

    Viongozi Wakuu wa NCCR - Mageuzi Watoa Tamko, Waikosoa UKAWA

    Uzuri Lubuva kashazuia goli la mkono, saiz kura za uraisi zitajulikana vituoni .
  12. M

    Kozi bora

    Kila kozi ni nzuri inategemea utayari wako, na nn unaona unaweza kukifanya vizuri. Ukiwa na ujuzi mzuri hata ukisomea digrii ya kumwagilia maua utapata kazi tu. usikilize moyo wako unataka nn, that's all.
  13. M

    Neema: Waiter wa Serena Hotel apewe support na UKAWA, kasaidia sana. Yuko wapi?

    Naona Dr. Kajivisha mikoba ya ukampeni meneja ya ccm. Wananchi wakikupa dhamana ya cheo, isifike mahali ukajiona ww n zaidi. CHADEMA huwezi iua kirahisi hivyo unavyofkria; Mr. Nyepesi alikuwa na nguvu kuliko ww na aliondoka na mikoba yake, na CHADEMA ikaendelea kuwepo. This is time for CHANGE...
  14. M

    Utofauti wa Dr Magufuli na Lowassa

    Lowasa ndo habari ya mjini✌🏿️
Back
Top Bottom