Recent content by Mitandio

  1. Mitandio

    JamiiForums Tanzania Watanganyika tuwe Makini: Kauli ya Nchimbi inayotututaka Wananchi kupigania katiba mpya inafikirisha sana

    Hawawezi kutoka kirahisi hivi hizo janja janja tu ukiona wameanza kusukuma agenda kama za wapinzani hapo jua Kuna upepo wanaupoza kusahaulisha yaliyotokea alafu baadae game linaendelea vilevile,nyoka ni nyoka tu hata avue gamba nashauri asiaminike hata kidogo huu ni mtego
  2. Mitandio

    JamiiForums Tanzania Watanganyika tuwe Makini: Kauli ya Nchimbi inayotututaka Wananchi kupigania katiba mpya inafikirisha sana

    Huo ni mtego wa kimkakati kwa wanaharakati wote ,ccm wanatafuta njia yakutokea sio wakuwaamini kirahisi hivi..
  3. Mitandio

    JamiiForums Tanzania JWTZ jiepushe na kuibeba CCM. Jiepushe na kuingilia siasa. Iache CCM iminyane na wapinzani majukwaa ya siasa. Hakuna mwenye nia mbaya na nchi yetu!

    Umeongea ukweli kabisa litawakuta jambo ccm ni swala la muda tu
  4. Mitandio

    JamiiForums Tanzania Battery Degradation kwenye EV na Hybrid: Sababu, Athari na Jinsi ya Kuongeza Life Span!

    Mkuu Asante sana kwa elimu nzuri kupitia darasa kama hili hatutaogopa hizi hybrid kabisa
  5. Mitandio

    JamiiForums Tanzania Magari ya Japan (Japanese used cars) za kununua 2026!

    Mkuu hua naikubali sana Toyota crown hybrid ya 2008-12 una uzoefu nayo unipe mawili matatu je inafaa kuishi nayo ile hybrid yake ?
  6. Mitandio

    JamiiForums Tanzania Pikipiki za umeme “Roam Air” kutoka Kenya, ndio mkombozi wa usafiri kipindi hiki cha mafuta bei ghali!

    Hizi pikipiki nimeziona Mwanza kule stand ya Nyamhongoro kuna dealer anaziuza tangu mwaka jana
  7. Mitandio

    JamiiForums Tanzania BMW wamezindua BMW i3 Sedan | Hii ni 3 Series ya Umeme!

    Hii bei yake inaendaje mkuu?
  8. Mitandio

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kuweka begi dirishani kwenye daladala ili kuwahi siti inaboa sana. Ntakuja nipige mtu ngumi

    😆😆aisee ,hapo mkuu pambana tu ujipatie kausafiri hiyo adha haiwezi kuisha
  9. Mitandio

    JamiiForums Tanzania Je, magari haya yanamudu barabara zenye mchanga mwingi?

    Aisee kumbe wenye harrier wanayaendesha kigumu huku roho zinawauma sasa 6km/l mbona ni sawa ni v8 hiyo.
  10. Mitandio

    JamiiForums Tanzania Vita vya Mini Van (MPV) kutoka Japan: Ipi ni chaguo lako?

    Hiyo honda 6th generation bei itakua mkasi sana?
  11. Mitandio

    JamiiForums Tanzania Vita vya Mini Van (MPV) kutoka Japan: Ipi ni chaguo lako?

    All the way kwa alphard AH20 imekaa poa
  12. Mitandio

    JamiiForums Tanzania KERO Madereva Bajaj Nyegezi - Mwanza wanajipangia bei za juu muda wa usiku

    Wanaanza kupandisha nauli jioni tu wala sio usiku pekee hao ni kawaida yao tena ikiwepo jam ndo balaa sasa.
  13. Mitandio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu wa Kenya amtaka Rais Ruto kuweka wazi ushahidi unaoonesha Mahakama ikitumika kwa Rushwa

    Kenya Kwa hili wako vizuri sio kama nchi Fulani hivi......full kusifia tu
  14. Mitandio

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya namba kujirudia kwenye ulimwengu wa roho

    Nawasalimu wakuu ,Naomba msaada kujua maana ya hili kila nikiangalia saa nakutana na 49 yaani dakika 49 au 59 imekua kawaida sasa nina siku kama 4 hivi sielewi Ina maana gani hii katika maisha yangu.
  15. Mitandio

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya namba kujirudia kwenye ulimwengu wa roho

    Nawasalimu wakuu ,Naomba msaada kujua maana ya hili kila nikiangalia saa nakutana na 49 yaani dakika 49 au 59 imekua kawaida sasa nina siku kama 4 hivi sielewi Ina maana gani hii katika maisha yangu.
Back
Top Bottom