Recent content by Misterdennis

  1. M

    JamiiForums Tanzania Vijana mliopo A-level: Technique rahisi nilizotumia kupiga Division One ya 3 form six bila kukesha darasani

    Mimi nina mtizamo tofauti. He's good and confident. Anajua what he is talking about
  2. M

    JamiiForums Tanzania NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne na cha pili 2020

    Ni ya kwanza kitaifa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Maneno gani ya Kiingereza ulikuja kujua baadaye yanasomwaje?

    No, he is not wrong nor are you. Skeju: American Shejwo: British
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wadhamini wa Tundu Lissu wawasilisha maombi ya kibali cha kumkamata

    So...Mahakama imetoa uamuzi gani? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Zitto afungua kesi ya kikatiba kupinga uteuzi wa CAG mpya

    Kwa nini yeye ndiye afanye kila jambo? Viongozi wengine kwako wapi na wanafanya nini kuhakikisha kuwa inakuwepo tume huru ya uchaguzi? Viongozi wote Wa upinzani wameshindwa kupeleka hili jambo mahakamani kazi ni kusema tuu kwenye vyombo vya habari... eti tunataka tume huru!! Kweli!! Kirahisi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi ni wa nini basi?

    ....amepoteza haki ya kufanya nini? Kwa nini ni mazuzu kiasi hiki? Mnawachukuliaje hasa Watanzania, kwamba ni watu wasio na uelewa, who need decisions to be made for them??
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Sokoine: Tujiondoe jela ya kifikra

    Nyirabu mkurya, kwao Tarime..anaanzaje kuwa Binamu ya Nyerere mzanaki Wa ikizu?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola aruhusu mabasi kusafiri saa 24 nchini

    Anathibitisha kuwa wanawajuwa watekaji
  9. M

    JamiiForums Tanzania Membe, kwa jinsi Kigogo alivyommaliza na kumnyamazisha kabisa Musiba muwahi akulipe kabla hajajinyonga

    Mkuu,Remote, unaweza kunitupia link ya huko twitter...?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi linaposhiriki vikao vya ndani vya CCM, unategemea litatenda haki kwa vyama vingine?

    Hivi...huwa mnavutishwa bangi kwanza halafu ndio mnakuwa released mje kuchangia mitandaoni?? Kwa nini mko wajinga sana kiasi hiki!!!???
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya ajabu - Bei ya Diesel Burundi ni nafuu kuliko Tanzania

    Sipokei ushauri wako.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya ajabu - Bei ya Diesel Burundi ni nafuu kuliko Tanzania

    Mkuu, na huyo aliyetowa lile jibu eti nae ni naibu waziri....vituko haviishi nchi hii.
Back
Top Bottom