Habarini za saa hizi ndugu zangu!!
Natumai afya zenu ziko salama kabisa
Ngoja niende tu moja kwa moja kwenye mada husika.
Hili swali linanipaga utata kidogo maana naonaga tu akina fulani wametajwa kwenye kipengele fulani wengine wanaachwa sasa mnielimishe inakuwaje hasa.
Samahani kwa...
Vitabu vyote hivyo vilitakiwa kufungwa kifungo cha maisha kabisa maana havieleweki kabisa
Soma Mwanzo 3:1-5,3:22 utueleze nini walimaanisha
Quran sijui mara hadithi sijui hizi ni sahihi mara hizi ni dhaifu yaani mmekariri tu ila hamna kitu
Kumuacha flamme kapaya na japonnais maladi bila kumsahau Sarah solo ni dhambi kama dhambi zingine tu mkuu kawasikilize vizuri kisha umtoe kimbangu kwenye list hiyo
Passion d’avril
3eme doigt (humu jamaa kaimba matusi mkuu 3eme doigt maana yake dole la kati)
Ila nenda kasikilize michel panzu (je t’attends) iko Poa sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.