Nakushauri pia tafuta kijana was kiume akusaidie hizo kazi za ndani ako wengi tu. Na ukitaka wa kike basi mchukue ndugu yako kijijini ambaye atakuheshimu kama ndugu yake lkn usichukue ilimradi msichana ni parefu hapa mpaka ukaoe 2020 huwezi jua hapa katikati patatokea nini, wasichana...
ANGALIZO: Humu ndani tunatafuta kazi sio mapenzi/Wapenzi. Ujumbe unahusu kazi wewe unaleta mapenzi kila kitu kinasehemu yakeee. Kama wewe binafsi unashindwa kutoa ushauri au maoni yako basis acha kuandika ujumbe wowote sio lazima utume ujumbe kwa mtu yeyote Mara niPM Mara nitumie picha Mara...
Nimesababu sana na mashahidi yeah kuhusu kutiwa damu mishipani kwamba mungu anakataza damu kwa sababu damu no uhai toka kipindi cha wana was Israel walikatazwa ( lawi 17:14, 7:26-27. Mwanzo 9:3,4,16) mpka Leo tunakatazwa ( matendo 15:28,29. 21:25)
Kuhusu kurithi majumba biblia inasema kwa wakati...
Natumai mu wazima!!
Nina mdogo wangu anaitwa stela ana uzoefu mzuri wa mwaka 1 wa huduma za uwakala (mpesa,tigo pesa na kusajili line) anatafuta kazi. Mwenye uhitaji apige no. 0687598519. Asanteeeeen
nimeolewa na ninapata huduma zote ila si unajua tena maisha in kusaidiana. Mm binafsi zijazoea kukaa tu nyumbani napenda kujishughulisha mda niliokaa nyumbani unatosha kilichibaki hapa ni kazi tu ' upo hapo babangu
Mhhhhh
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.