Yaani kisaikolojia ume fall kwa hao wanaume wawili kwa sababu ya hela,lakini huyo kijana single kwa sababu ndo anaanza life unataka afanye jinsi hao watatu wanafanya,na hata akifanya hakionekani ni kama machozi ya samaki baharini hayaonekani,Cha msingi hapo,usikubali zaa na mwanaume wa MTU,jua...
Unachukua simu ya mhusika unadownload kutoka Google app inaitwa,mobile tracker, unasajili vitu utakavyoonyeshwa alafu utaweka e-mail yako na password. Baada ya hapo umemaliza.Utachukua PC au simu yako una login(unaandika mobile tracker free login in unaandika email na password unaanza kuona kila...
Jambo linalosababisha ni la kisaikolojia kutokana na historia yake,ya mahusiano,huenda alishawahi kupotezewa muda,ndio maana hataki muda uende akiwa na mtu ambaye hajui au haamini kama ni kweli au ni walewale.Cha kufanya hapo ni kumchange mind yake,na usimpotezee, ww ongea naye. Na kuhusu kuona...
Habari,
Madaktari na wakuu wa jukwaa hili nina ndugu yangu (22), kaolewa 2016 August ana tatizo la kubeba ujauzito na kuharibika, alibeba ujauzito kufikia miezi minne ukaharibika,akabeba tena miezi kadhaa hivyohivyo.
Lakini huu wa mwisho ulifikisha hadi miezi 9 ya kujifungua, lakini kajifungua...
Naona tatizo liko katika aina ya wanawake unao kuna nao,wengine unakuta wana watu wao,pia wanaona huja match kuwa husband kwao kutokana na status zao,maan wanawake wanaojiona wa status huwa wanaangalia juu,kupata wa status zaidi yao,Pia hata kama sivyo,ukipata huyo msichana,wengi huwa wanapend...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.