Recent content by miss mwanjelwa

  1. miss mwanjelwa

    JamiiForums Tanzania Uongo wa vifurushi vya Intaneti vya Airtel Tanzania

    Hawa Airtel wapumbavu Sana, shenzi kabisa, sio mb wala dakika za maongezi.
  2. miss mwanjelwa

    JamiiForums Tanzania Msaada wa dawa ya kuua popo.

    Naifanyaje hiyo mkuu?
  3. miss mwanjelwa

    JamiiForums Tanzania Msaada wa dawa ya kuua popo.

    Sijaitumia ikoje hiyo?
  4. miss mwanjelwa

    JamiiForums Tanzania Msaada wa dawa ya kuua popo.

    Ndio
  5. miss mwanjelwa

    JamiiForums Tanzania Msaada wa dawa ya kuua popo.

    Habari, nimekuwa nikisumbuliwa na popo kwa muda mrefu mpaka wananiharibia mabati na ukuta. Naomba anaefahamu sawa ya kuwauwa kabisa wapotee anisaidie maana wamekuwa kero.
  6. miss mwanjelwa

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kuletewa nyodo na mhudumu wa kike?

    Sasa uliitwaje kwenye interview wakati unasema bahasha aliitupa pembeni kwa dharau?
  7. miss mwanjelwa

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nimenunua umeme wa sh. 5000 nimepewa unit 8 wakati nilikuwa napata unit zaidi ya 40 hadi Mara ya mwisho nimekuja kununua jana.
  8. miss mwanjelwa

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hiyo (other) huwa inakuwaje mkuu?
  9. miss mwanjelwa

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nina tatizo la kutokwa mafuta sehemu ya uke

    Habari za humu ndani, Naomba ushauri huu ugonjwa siuelewi yaani wakati wa haja ndogo kutoka huchanganyika na mafuta yenye rangi ya mawese na yakidondoka kwenye sink la choo huganda haraka sana nikigusa naona ni mafuta kabisa tena yanaharufu mbaya. Anayejua anisaidiee plz.
  10. miss mwanjelwa

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtangazaji wa TBC Taifa, Elisha Elia Mwakalinga afariki Dunia

    Huyo ni kichaa hana akili, wengine ni wa kuwapuuza tu. Anafikiri chuki za kisiasa zitamfikisha palipo pema. Ukute hao anaowashabikia hata hawamfahamu.
  11. miss mwanjelwa

    JamiiForums Tanzania Mtoto mchanga kuharisha kijani yenye kamasi mara tu baada ya kunyonya

    Habari ndugu zanguni, Ninaomba msaada mtoto wangu ana umri miez 4 Lakini kila akinyonya tu baada ya kumaliza anaharisha choo cha kijani chenye kamasi sana nilimpeleka kwa tabibu nikapewa septrin lkn naona tatizo linaendelea wengine wanasema meno wengine kukaa sasa sielewi ila hachemki wala hana...
Back
Top Bottom