miss mwanjelwa
Member
- Sep 4, 2016
- 62
- 42
Habari, nimekuwa nikisumbuliwa na popo kwa muda mrefu mpaka wananiharibia mabati na ukuta. Naomba anaefahamu sawa ya kuwauwa kabisa wapotee anisaidie maana wamekuwa kero.
NdioNYUMBANI KWAKO KUNA POPO?
Sijaitumia ikoje hiyo?Garlic haikusaidia ?
Hebu tufafanulie expertGarlic haikusaidia ?
✓Miti ya miaridari wanapenda sana kwa ajiri ya kula vile vitunda vidogo vidogoHabari, nimekuwa nikisumbuliwa na popo kwa muda mrefu mpaka wananiharibia mabati na ukuta. Naomba anaefahamu sawa ya kuwauwa kabisa wapotee anisaidie maana wamekuwa kero.
nipe hiyo tendaHabari, nimekuwa nikisumbuliwa na popo kwa muda mrefu mpaka wananiharibia mabati na ukuta. Naomba anaefahamu sawa ya kuwauwa kabisa wapotee anisaidie maana wamekuwa kero.
Naifanyaje hiyo mkuu?✓Miti ya miaridari wanapenda sana kwa ajiri ya kula vile vitunda vidogo vidogo
kbs akipata tairi la scania itapendezaChoma pira chini ya mti ule moshi ukiwafikia juu lazma wasepe😅
Yani analiwasha tu alfajiri tu wanapokuwa ndio wamerudi baada ya misele yao ya usiku kucha😅 watalia kichizi ila itakuwa haina namna lazma waachie bodi!kbs akipata tairi la scania itapendeza