Recent content by Miss Malima

  1. Miss Malima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Test ya kujua mpenzi wa kweli

    Tehee tehee hii kali ya 2014 Sent from my BlackBerry
  2. Miss Malima

    JamiiForums Tanzania Kwa anaehitaji mahindi nina tani 30 nauza.

    Unapatikana wapi? Weka mawasiliano ili iwe rahisi kwa yoyote anayehitaji kukupata kirahisi, pia uko mkoa gani? Binafsi nahitaji. Sent from my BlackBerry
  3. Miss Malima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki wa Mchumba wangu ana shida nimsaidie?

    Nijuavyo mimi cwezi kumuomba mume wa dada yangu Pesa bila dadangu kujua kwanza tena yeye dadangu ikibidi ndo aniombee!(Mume sio mchumba tena wa dadangu) Sasa itakua rafiki jamani? Hapana mi nasema huyo shemejio hana Heshima na sio rafiki mzuri wa gf wako kuwa makini. Sent from my BlackBerry
  4. Miss Malima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimesitisha Zoezi la kutafuta mchumba JF

    Pole cna ila hujatueleza uliyokutana nayo/yaliyokukuta. Funguka...... Sent from my BlackBerry
  5. Miss Malima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda sana ila sina hamu ya kufanyanae sex

    Unampenda kama rafiki tu co km mpenzi. Pole, mweleze ukweli ataumia lakini yatapita kuliko kuendelea kuwa na mtu ambae huna feelings nae, its boring u know? Sent from my BlackBerry
  6. Miss Malima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yamemkuta

    Alikua hampendi huyo! Huwezi muacha mkeo kwa kisa cha kutokujua kupika. Sent from my BlackBerry
  7. Miss Malima

    JamiiForums Tanzania Hallow!

    Karibu cna Blaza Musa Sent from my BlackBerry
  8. Miss Malima

    JamiiForums Tanzania hello friends

    Pokea Baraka Sent from my BlackBerry
  9. Miss Malima

    JamiiForums Tanzania New member

    Karibu chukua na kiti ukae! Sent from my BlackBerry
  10. Miss Malima

    JamiiForums Tanzania Hodi Hodi..!!

    Karibuuuuuu Sent from my BlackBerry
  11. Miss Malima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji Girlfriend

    JF hakuna ma gold Digger bro, hao MGD wapo FB. Ngoja warembo waje utampata tu. Kila la kheri Sent from my BlackBerry
  12. Miss Malima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji Girlfriend

    Teheeee, bila matumizi ss hayo ni maisha kweli jmn ww kaka? Maisha ni matumizi na matumizi ni mpesa+tigopesa+Airtel money.....lol. Km hayo huyataki utampata lakini ww utakua wa kuzugia tu atakuwepo mwngne wa kuhudumia lyk mafuta kwa gari, saloon, mpesa, tigopesa, outings, shopping nk. Sent...
  13. Miss Malima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Weka CV yako Blaza Musa! Umeweka cfa za mke unayemtaka, zako je? Sent from my BlackBerry!
  14. Miss Malima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tafadhalini sana mabinti.

    vijana mnajidanganya sana. wadada wanajua kabisa kwamba akikupa fasta utamdharau, so anachofanya anakunyima wewe hata mwaka lakini wengine pembeni anawapa kama kawa, ha ha ha unadhani wanawake hawapendi sex eh stop being stupid. ladies are smarter than u think, utadhani huyu ndo mgumu kuvua...
  15. Miss Malima

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania msaada jaman....!

    Pole dada we
Back
Top Bottom