Recent content by miss lulu

  1. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hata mimi nina mwezi nimeshalipia ila wanasema nguzo hamna miti haijakomaa sasa sijui lini hizo nguzo zitafika Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuhifadhi taka zitokanazo na nepi za watoto

    Diaper zinanyonya mkojo na mtoto anakua mkavu pia zinaalama ya kuonyesha kuwa imejaa hivyo umbadilishe mtoto. Ukifuata mashart yake hazina tabu .
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Frame Tanzania

    ,,0 Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania Goba vs Kigamboni: Wapi ni pazuri zaidi?

    Ubaya hakuna kiwanja ferry viwanja vizuri ni zaidi ya 25kilomita. So mpaka ufike ferry ni kipande umetembea.
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijamuelewa mke wangu

    Hii ni chai au kuna kauongo flani kwa mtoa mada. Miaka 17 ya ndoa ina maana nyinyi ni watu wazima kidogo mmepitia mambo mazito zaidi ya hii. Sijaona sababu ya wewe mtoa mada kuchapa lapa katika hili.
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

    Wakala wa sony aliyepo ni Anisuma traders na duka lake liko mlimani city. Kwa bahati mbaya Sony kama imemzidi nguvu kusuply katika sokoni so kuna uhaba kabisa wa Tv za Sony. Nyingi zilizopo ni za watu kununua Dubai na china na kuzileta kwa jina lingine inaitwa Parallel Input au PI.
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

    Kuna wakala wawili wa LG Tanzania. Kuna Mo na Garnet star. Mo anapatikana posta nkurumah street oppsite na LATRA na service centre iko hapo hapo. Huyu Garnet star anapatikana Moroco na service centre iko hapo hapo. Ila pia kuna service centre ya LG inayojitegemea ipo kariakoo Nasra tower.
  8. M

    JamiiForums Tanzania MABATI CHAPA DRAGON

    Asante sana
  9. M

    JamiiForums Tanzania MABATI CHAPA DRAGON

    Fundi akikupa vipimo kama hivi 750, 650,300 nk. Je hi huwa kamaanisha nini?? Na unapigaje hesabu yake kupata hiyo mita za bati???
  10. M

    JamiiForums Tanzania MABATI CHAPA DRAGON

    Fundi akikupa vipimo kama hivi 750, 650,300 nk. Je hi huwa kamaanisha nini?? Na unapigaje hesabu yake kupata hiyo mita za bati???
  11. M

    JamiiForums Tanzania MABATI CHAPA DRAGON

    Asante sana
  12. M

    JamiiForums Tanzania MABATI CHAPA DRAGON

    Bei gani kwa mita moja lenye urefu wa 80cm na bei ya mita 3 je???
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke ni sahihi kuniambia maneno haya?

    Aisee kuwa tegemezi tabu sana. Nikajua laki 3 kumbe elfu 30 yaani elfu 10 ziwe tatu. Pole yake huyo mkeo
  14. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO nini shida tena kwenye LUKU?

    Yaani wanakata hela na token hawaleti. Useless kabisa
Back
Top Bottom