TANESCO nini shida tena kwenye LUKU?

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,496
8,735
Hili shirika ni bora likabinafsishwa tu, haiwezekani kila ndani ya wiki kuna shida kwemye kupata LUKU.

Mida hii LUKU haipatikani kabisa ni fullu shida tu.
 
Hili shirika ni bora likabinasifishwa tu, haiwezekani kila ndani ya wiki kuna shida kwemye kupata LUKU.

Mida hii LUKU haipatikani kabisa ni fullu shida tu.
Unakwamia hatua gani Mkuu? Mbona huku inaonekana kama iko sawa?
 
Hili shirika ni bora likabinasifishwa tu, haiwezekani kila ndani ya wiki kuna shida kwemye kupata LUKU.

Mida hii LUKU haipatikani kabisa ni fullu shida tu.
Alafu kuna baadhi ya Luku za Kichina zinazingua kichizi unakuta mtaa mmoja line moja nyumba zingine umeme unawaka zingine hauwaki mpaka baadaye ndo unawaka ukiwapigia simu longolongolo kibao
 
Hata Mimi ilitokea kwa mpesa nikajaribu NMB ikakubali lkn ilikuwatayari hela imekatwa mpesa bila kupata token. Sasa hili likasababisha tatizo LA units kupita kiwango
 
Back
Top Bottom