Recent content by Miss kidege

  1. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufanyiwa CT-Scan ya tumbo, hali imebadilika na kuwa mbaya

    Mungu akufanyie wepesi upon Ila madaktari wa Tz Mungu tu atusaidie unamwambiaje mtu ana kansa wakati huna uhakika
  2. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufanyiwa CT-Scan ya tumbo, hali imebadilika na kuwa mbaya

    Mungu akufanyie wepesi upone
  3. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufanyiwa CT-Scan ya tumbo, hali imebadilika na kuwa mbaya

    Vipi hali yako kwa sasa hivi?
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usioe mwanamke anayesuka nywele mpaka kwenye kiuno

    😂😂😂😂😂
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la pingili za uti wa mgongo kubanana. Naomba kujua tiba

    Nilimpoteza mtu wa muhimu sana kwa tatizo hili yeye aliambiwa pingili za uti wa mgongo zimeachana alifanyiwa operation mara mbili. Kwa Mungu hakuna linaloshindikana piga goti muombe yeye atakuponya
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single fathers and mothers njooni tujenge familia

    Single mom & happy
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Leseni ya Udereva, Kitambulisho cha NIDA na Hati ya Kusafiria kutumika katika kupiga Kura Oktoba 28

    It's true Sidhani km kuna mtu ambae hajajiandikisha kwenye daftari la kupiga kura leo akurupuke tu from no where akataka kupiga kura kwa ulazima. Je ni watanzania wangapi ambao kazi zao haiwalazimu kuwepo sehem moja?
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Leseni ya Udereva, Kitambulisho cha NIDA na Hati ya Kusafiria kutumika katika kupiga Kura Oktoba 28

    Wangetoa hata ruhusa hiz siku zilizobaki kuna watu tulijiandikisha mkoa fulani kwasababu za kiutafutaji tuko mkoa mwingine tungeweza hata kuhakikiwa tumchague raisi tu. Ni idadi kubwa sana ya watu ambao kiukweli tutakosa kupiga kura kwasababu hii.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kama ulijiandikisha Mpwapwa siku ya kupiga kura ikakukuta Muheza hautoruhusiwa kupiga kura hata ya kumchagua Rais?

    Nasubiri jibu maana hata mm nilijiandishia mkoa tofauti na nilipo kwa sasa hivi
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

    Mwanza nzima sijaona bango hata moja la lisu
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yaanza kutoa matokeo ya rufaa za Udiwani na Ubunge zilizokatwa na wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa 2020

    Hapo ndio huwa inashangaza y not ccm hata mmoja asiwepo aliyekosea kujaza hizo form? ?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tunaomba update za interview TRA

    Customs officer II hiyo jamani nilijibu jibu tu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kigugumizi (Stuttering): Chanzo na Tiba kwa watu wazima na watoto

    Mtoto wangu ana miaka mitatu toka akiwa mdogo hakuwahi kuwa na kigugumizi ila mwishoni mwa mwez wa 3 kuna siku ilitokea tu kila alipokuwa anaongea anashindwa kutamka maneno mpk akawa analia mama mbona mimi leo sijui kuongea? Yani alikuwa km mtu ambaye kumbukumbu ya vitu imepotea ili atamke au...
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mwanangu wa kiume uume (mashine) haisimami, mama yake kashauriwa amuonyeshe nyeti kumtibia

    Nilishawahi kusikia hiyo tiba zamani sana.... tujaribuni kuvaa viatu vya hao wazazi, imagine mtoto wako hasimamishi Ni maumivu kiasi gani unayapata
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo magumu kwa mwanamke na suala la kufika kileleni

    That's true hakuna raha tamu km wote mkifika kwa pamoja
Back
Top Bottom