Recent content by Miss Jay

  1. Miss Jay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyie wadada mkiwa waongo muwe smart basi..

    Sio bombadier?
  2. Miss Jay

    JamiiForums Tanzania NMB job several position wameanza kutuma email

    Yaani mkuu imebidi nicheke kama mazuri
  3. Miss Jay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama yangu anachat na kuwatumia picha zangu watu nisiowajua

    Heheheheh jino kwa jino na pua kwa pua
  4. Miss Jay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni vigezo gani huchukuliwa kuchagua Miss?

    Heheheheeeeeee u made my day
  5. Miss Jay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasiwasi na mke wangu na watoto aliozaa

    Sasa mwenzio awabebe tumboni miezi 9 na akalie na kuteseka leba halafu wafanane na wewe,hebu kuwa na huruma loooh
  6. Miss Jay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kademu au mshikaji uliyekuwa unampenda enzi unasoma anaitwa nani

    Said Shaluah
  7. Miss Jay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimi najutia kwa orodha hii ya wapenzi, wewe je?

    Mbona wachache sana?kuna watu hata majina hawawakumbuki hahahahhaah
  8. Miss Jay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ananiambia naniliu yangu ni ndogo kama kijiti

    Hahahhaahha duh nimecheka kwa sauti hadi watu wamenishangaa
  9. Miss Jay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania My girl is better than yours

    Lakini kama kawaida ya wanaume siku ukitaka kuoa utaoa mwenye makalio makubwa kuliko yeye,,,just thinking loud though hahahaaaa
  10. Miss Jay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najikuta kuchukia tu tabia ya mwanamke hajaolewa na kuweka profile pic ya mwanaume

    Life is so simple when u learn to mind ur own business
  11. Miss Jay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vioja vya watoto wadogo (0-5years), tuambie vioja vya mwanao

    Hahahahaaaa duh na ada ulikua ushalipa?watoto hawa jamani
  12. Miss Jay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti mdogo anatembea na wababa halafu anakuamkia wewe kijana, maana yake nini?

    Hahaahah umenikumbusha kuna baba mmoja hapa mtaani ukimuambia shikamoo anajibu poa mambo
  13. Miss Jay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti mdogo anatembea na wababa halafu anakuamkia wewe kijana, maana yake nini?

    Lakin kwani kuamkiwa shikamoo ndo kunasababisha ushindwe kupiga sound zako?mbona mimi mume wangu huwa namuamkia shikamoo maana amenizidi kama miaka 10 hivi na wala hajisikii vibaya anaona kawaida tu,,"shikamoo mahabuba wangu,,shikamoo mume wangu kipenzi,,,shikamoo barafu wangu wa moyo"hayo ndo...
  14. Miss Jay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti mdogo anatembea na wababa halafu anakuamkia wewe kijana, maana yake nini?

    Mimi wala sio mrembo,,,nina sura ya babu yangu aliekuaga mhenga zamani
  15. Miss Jay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti mdogo anatembea na wababa halafu anakuamkia wewe kijana, maana yake nini?

    Shikamoo kaka,,,hahahahahhaahha leo utaamkiwa humu hadi upasuke kwa hasira
Back
Top Bottom