Tatizo la Africa [emoji288] ndo hili, think about other factors, labda ulikuwa dent now in service alafu unasingizia dada wa watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Gharama ni kubwa tho siku i feel coz nina bima, niliongeza hela kidogo ya kitanda mana nilitumia cha bei kubwa inayovuka elfu 15 ya kwenye bima
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta hospital nzuri namanisha nzuri sana, kama una bima au upo vizuri kiuchumi chagua hospital ya private ambayo utaanzia hapo clinic hadi kujifungua
Mimi nilipata complications sana ila nashukuru madokta wa pale walijitahidi sana.
Uzazi umekuwa changamoto ni vema wanawake tukachagua mahali...
Clinic haina formula mwezi huu unaweza kwenda clinic aghakhan mwezi ujao temeke, mwezi ujao mbagala mwezi ujao Morogoro mwezi ujao kigoma hakuna tatizo
But kama upo settled sehemu moja ni vema ukachagua sehemu moja ambayo utaenda clinic na utajifungulia hapo.
Nakumbuka wakati ni mjamzito...
Mimba ya kwanza na ya tano sita saba ni sharti ujifungulie Hospital, mimba za pili tatu nne unaweza kujifungulia health Centre au dispensary so inategemea hiyo mimba ya ngapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kawaida unaanza kuuzuria clinic mara tu unapojigundua ni mjamzito tho wengi wao huanza kwenda wakiwa na miezi mitatu
Mimi nimeanza kwenda clinic mimba ina week tatu, na pale hospital walinipongeza sana.
Kingine siyo lazima pale unapoohuzuria clinic ndo ujifungulie
Lakini ni vema kama kuna...
Dadeq nadaiwa mno
Milion 14 loan board
Milion 12 Nmb
Elfu 20 tala
Mia saba hamsini nipige tafu
Elfu 50 mchango wa harusi dedline ni kesho
Laki na nusu _mtu binafsi
Elfu 72 kodi
Hahahahahahahahahahahahahah nimewaza nimejikuta nacheeeeeeeeeka sana
Alafu maisha lazima yaendelee
Sent using Jamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.