Recent content by miss Diva

  1. miss Diva

    TCRA waipa onyo wasafi Tv kwa kukashifu dini ya kikristo.

    Mbona kitambo sana shilla anakanisa na kanisani kwake kuna kipindi alikuwa anagawa hadi pesa
  2. miss Diva

    Paul Clement ashauriwe, Asaidiwe, aombewe!

    Sisi tuliokuwepo hatujaona tatizo shida moja ya paul hajui kuichangamsha hadhira yaani hana vibes nimehudhulia concert ambazo amehudumu kama 3 hiyo ndo shida yake kubwa niliyoiona
  3. miss Diva

    Hivi ni kweli ukifanya biashara ili ufanikiwe lazima ufanye ushirikina?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  4. miss Diva

    Je, Master J huwa anampiga Shaa?

    Kuna interview moja alikuwa anahojiwa master j akasema imechukua miaka 10 kuvunja ndoa yake kwasababu mke wake alikuwa anaweka pingamizi hakutaka ndoa ivunjwe Na mwaka huu ndio mwanamke ameridhia na utaratibu wa ndoa ya kikiristo kama mke na mme hawajakubaliana ndoa haivunjwi Huwa kila baada...
  5. miss Diva

    Hatimaye biashara za Generators na Solar zarejea kwa kasi ya ajabu nchini Tanzania

    Uko wapi ndugu Bunju tunamwezi sasa ni mwendo wa maji chumvi
  6. miss Diva

    Chimbo la vifaa vya keki

    Masaki huyu dada anatumia jina la maiya-aladawy inst mfollow hutajuta
  7. miss Diva

    Tushaurini sisi wateja wa Halotel tuhamie mtandao gani?

    Yaani saivi ni swala la muda tu cha msingi tulia ulipo
  8. miss Diva

    Katika umri gani ulifanikisha lengo la kujenga nyumba yako?

    27 mwaka huu nimetiza ndoto yangu na nawaheshimu wenye nyumba dar hata iwe chumba kimoja
  9. miss Diva

    Kodi ya Jengo au Kodi ya Mita ya LUKU?

    Kweli mfano mimi nakaa kwenye appartment tupo familia nane( 8) Wote tuna luku zetu kila mmoja Akinunua luku anakatwa So painfull jamani[emoji24][emoji24][emoji24]
  10. miss Diva

    Ulifikishaje Milioni 10 ya kwanza?

    Maujanja ni kujitoa tu niliamuamua kukilipua Nikaanza kwa kupost status natoa mkopo watu wakanicheka ila sikuchoka baada ya mda watu wananifata inbox kuomba mkopo mi nawapa vigezo na masharti tu Na huwez amini mwezi huo pesa ilichukuliwa yote mpaka sasa sivuki mwezi na pesa ya mwezi uliopita...
  11. miss Diva

    Huyu mdada anavyonichunia baada ya kumwambia hivi, kosa langu ni nini?

    We ungetuma pesa asipotokea unawapigia muamala umesosea pesa yako inarudi hata km atawai kuitoa Siku akiweka pesa wakurugwa wanakata juu kwa juu
  12. miss Diva

    Ulifikishaje Milioni 10 ya kwanza?

    Kila mwaka huwa nacheza vikoba na huwa natoa laki moja kila mwezi ukiongeza na kiingilio huwa tukivunja nakuwa na 1mil na laki 4 nimefanya hivo kwa muda wa miaka mitatu na mwaka jana tulipovunja mwezi wa 12 ikabidi nikae na kutafakari kwa hiyo ntafanya mzecho huu wa kichaa hadi lini? Kila mwezi...
Back
Top Bottom