Recent content by Misozwe

  1. M

    Rostam Aziz ameiweka serikali ya Tanzania mfukoni? Kwanini hakemewi kwa kuleta nadharia ya chuki na kudharau hadharani mhimili muhimu wa nchi?

    Sasa imebaki serikali nayo kujitokeza hadharani kumkemea Rostam. Hivi vitu sio vya kuvichekea hata kidogo, tukumbuke mwanzo wa ngoma ni lele...
  2. M

    Suala la Bandari: Ni Wakati sahihi sasa Watanzania wa hali zote kuwekeza kwenye Bandari yao ili kuleta Mantiki kwenye umiliki wao

    Mama ntilie wana uwezo wa kuwa sehemu ya wawekezaji, kwa umoja wao. Wataalamu wataendesha bandari. Nikukumbushe tu, Bakhresa miaka ile alianza biashara kwa kufanya uchuuzi, more or less kama mama ntilie wa kipindi hiki. Hivi saa ameajiri wataalamu wengi toka nje ya nchi.
  3. M

    Suala la Bandari: Ni Wakati sahihi sasa Watanzania wa hali zote kuwekeza kwenye Bandari yao ili kuleta Mantiki kwenye umiliki wao

    Wazalendo wakihamasishwa na taaria za fedha zikawekwa kwa uwazi, wanahamisika sana
  4. M

    Suala la Bandari: Ni Wakati sahihi sasa Watanzania wa hali zote kuwekeza kwenye Bandari yao ili kuleta Mantiki kwenye umiliki wao

    Teknolojia inawezesha kupunguza mianya ya upotevu, malipo yote yatakuwa yanafanyika kielektroniki na mteja kufikishiwa mzigo mpaka mlangoni. Itapunguza upigaji na rushwa kwa kiasi kikubwa
  5. M

    Suala la Bandari: Ni Wakati sahihi sasa Watanzania wa hali zote kuwekeza kwenye Bandari yao ili kuleta Mantiki kwenye umiliki wao

    Kinadharia, rasilimali za Tanzania, ikiwemo bandari, ni mali ya wananchi (umma) wa Tanzania. Kiuhalisia, mwenye maamuzi ya kuhusu lolote linaloweza kufanyika kwenye bandari ni Rais wa JMT. Kutokana na huu mjadala unaoendelea sasa, pengine ni wakati muafaka Watanzania wakaanza kuwekeza kidogo...
  6. M

    Rostam Aziz ameiweka serikali ya Tanzania mfukoni? Kwanini hakemewi kwa kuleta nadharia ya chuki na kudharau hadharani mhimili muhimu wa nchi?

    Kwa nafasi yake katika jamii kama kiongozi mwandamizi mstaafu wa CCM na pia mfanyabiashara mkubwa mwenye ushawishi bila shaka Rostam Aziz anatakiwa awe makini sana na kauli zake kwenye public kwa sababu tulio wengi tunayapa uzito unaostahili maneno yoyote atakayosema. Kwenye mkutano wa kujadili...
  7. M

    Profesa Shivji anasema mkataba wa Dubai/DP World uko kinyume na katiba; Je kusigina katiba sio kosa la uhaini?

    Wakati mwingine unaweza ukawa unajiuliza kwa nini nchi haipigi hatua za kimaendelea kwa kasi, unakuja kugundua kama akili za watu wa juu ndio hizi za mikataba mibovu, hao wa chini sijui watakuwa hali gani
  8. M

    Profesa Shivji anasema mkataba wa Dubai/DP World uko kinyume na katiba; Je kusigina katiba sio kosa la uhaini?

    Leo wakati akiongea katika mdahalo uliofanyika UDSM, mhadhiri mwandamizi wa sheria profesa Issa Shivji ameeleza kuwa mkataba wa uendeshaji bandari kati ya Tanzania na Dubai una dosari kutokana na vifungu vilivyotajwa hapo juu kukinzana na matakwa ya kikatiba ya Tanzania. Na akaeleza kesi inaweza...
  9. M

    Maswali haya yakipata majibu sahihi, sintofahamu ya uwekezaji bandarini itaondoka. DP World ni kampuni ya kawaida ya biashara, haina tatizo lolote

    Hakuna anayepinga uwekezaji, utaratibu tu ufuatwe Usimamizi wa bandari sio rocket science Upinzani wa kuwekeza kwenye bandari Serikali kukiri kushindwa kusimamia bandari ijiendeshe kwa ufanisi Maswali ya msingi yanayopaswa kujibiwa Uzoefu wa biashara wa DP World sehemu mbalimbali duniani Jambo...
  10. M

    Angalizo: Sio Watanzania tu, hata Waingereza wameikataa DP World

    Ilifukuza kazi wafanyakazi 800 bandarini Uingereza kwa mkupuo bila kufuata taratibu Iliajiri vibarua toka nje ya Uingereza na kuwalipa ujira mdogo kinyume na sheria Manamba na vibarua wa Tanzania wajiandae kulipwa kiduchu Hisia: Waingereza wanasema rushwa imeibeba DP World...
  11. M

    Je, Muumgano ukifa Mkataba wa DP World nao unakufa?

    Muungano hauwezi vunjika, tusisahau waliofanya mapinduzi Zbar mwaka 1964 ni wamakonde, wanyamwezi na waafrika wengine, hatuwezi acha ndugu zetu. Mwarabu hawezi mpindua mwarabu. Somewhere down the line tutabadilisha kuwa nchi mbili, Republic of Tanganyika na Republic of Zanzibar. Halafu...
  12. M

    Swali: Rostam Azizi anafanya biashara ya kutoa huduma kwenye bandari. Ni Bandari zipi kwa mnaojua?

    Du aisee, nilikuwa sijui. Basi hawa Wikipedia watakuwa waongo sana. Ina maana walivyoandika Rostam ana hisa Vodacom, anamiliki kampuni ya Caspian, anamilii kampuni ya Tigo, anamiliki kampuni ya Taifa Gas wamesema uongo. Basi sawa.
  13. M

    Swali: Rostam Azizi anafanya biashara ya kutoa huduma kwenye bandari. Ni Bandari zipi kwa mnaojua?

    Kwenye ukurasa wa Wikipedia unaotoa wasifu wa Rostam Aziz (Rostam Aziz - Wikipedia) unaonyesha moja ya sehemu za biashara na uwekezaji wake ni kwenye huduma za kibandari (port facilities and service). Kwa wanaojua bandari gani anahudumia naomba tu kujua ili kupata ufahamu. Sio kwamba nataka...
Back
Top Bottom