Recent content by Mising

  1. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumpa mimba amekuwa pasua kichwa

    Naleta uzi huu kwenu wakuu naomba mnisaidie hapa mimi nilimpenda binti mmoja hapa dar esalaam nikaja kumuoa ikabidi nifuate taratibu zote kama kawaida lakini mahari mzee baba milion 5 naishi kwenye chumba cha elfu kumi na tano sasa nikawa sina hiyo pesa binti nikampa zawadi ya kinikumbika yaani...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Pasua kichwa

    Naleta uzi huu kwenu wakuu naomba mnisaidie hapa mimi nilimpenda binti mmoja hapa dar esalaam nikaja kumuoa ikabidi nifuate taratibu zote kama kawaida lakini mahari mzee baba milion 5 naishi kwenye chumba cha elfu kumi na tano sasa nikawa sina hiyo pesa binti nikampa zawadi ya kinikumbika yaani...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumpa mimba amekuwa pasua kichwa

    Naleta uzi huu kwenu wakuu naomba mnisaidie. Mimi nilimpenda binti mmoja hapa Dar es Salaam nikataka kumuoa ikabidi nifuate taratibu zote kama kawaida lakini mahari mzee baba milion 5 nami naishi kwenye chumba cha elfu kumi na tano sasa nikawa sina hiyo pesa. Binti nikampa zawadi ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania uchumba

    [emoji30] [emoji30] [emoji30] faini tena mkuu
  5. M

    JamiiForums Tanzania uchumba

    sawa mkuu nimekupata
  6. M

    JamiiForums Tanzania uchumba

    wanajua nilipokuwa naishi na maisha yangu ya kawaida tu mimi ni fundi ila hicho kiasi niliwaambia kuwa sina but wakakataa wakidai ndugu wanichangie hili itimie nimuoe binti yao
  7. M

    JamiiForums Tanzania uchumba

    nshafanya hivo Muda mrefu buthadi ndugu wakawapigia magoti ila wakakataa kuwa hata kuruhusu ndoa mpaka hicho kiasi kikamilike
  8. M

    JamiiForums Tanzania uchumba

    hiyo tayari nimeshampa
  9. M

    JamiiForums Tanzania uchumba

    Ndo kama hivo mkuu mimi maisha yangu ya kawaida tu lakini wameniwekea uo ugumu
  10. M

    JamiiForums Tanzania uchumba

    nina miaka 25 pia najitegemea kwa sasa nina maisha yangu
  11. M

    JamiiForums Tanzania uchumba

    Naomba ushauri jamani ndugu zangu nilipendana na binti mmoja kwa kipindi cha muda wa miaka minne hadi sasa lakini ikafikia muda yeye baada ya kumaliza chuo tukaamua kuwajulisha wazazi ili taratibu zingine zifuate barua, washenga na nyinginezo lakini sasa mahari iliyotajwa milioni tano mimi sina...
Back
Top Bottom