Recent content by Mishenyi

  1. M

    Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi Februari 01, 2022

    Kaulizwa swali zuri kwamba kwanini Simu za Mbowe hazijakamatwa kuthibitisha mawasiliano baina yao!????? Wanajua hayo mawasiliano wameyachonga ndo maana wana simu za urio ila za Mbowe hawakuzikamata maana ni mchongo
  2. M

    Kozi zitakazokuwezesha kujiunga kirahisi na JWTZ

    Atakuwa taahira kama luteni Urio
  3. M

    Mahakama inaweza kukulazimisha kujibu swali lolote bila kujali kiapo ulichokula cha kulinda siri

    Sheria ya kulinda siri ina sehemu inazokuzuia kuropoka siri za taasisi yako unayofanyia kazi,,,sehemu hizo ni kama ukiwa baa, sokoni,msikitini,kanisani,kwa mchepuko nk, ukiwa sehemu hizo ikaropoka mambo kwa mfano ya Jeshi utaadhibiwa vibaya sana Ila linapokuja swala la mahakama,utajibu kila...
  4. M

    Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

    Mahakama ikitaka ushahidi wowote kutoka kwa mtu yeyote na wakati wowote inaupata!!! Kumbuka hakuna chombo wala mtu mwenye nguvu zaidi ya mahaka!a linapokuja swala la haki,,,tushukuru tupo kwenye nchi ambayo mahakama haiwezi kusimamia hadhi yake ipasavyo otherwise ungeona vumbi...
  5. M

    Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

    Hivi Urio ana umri gani maana mtu mzima kama Mbowe hawezi kumuita kijana mdogo vile eti HOME BOY inatia mashaka hizi ni swaga za vijana kwa vijana
  6. M

    Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe 26 Jan 2022. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi wake

    Mawakili wa utetezi waende mitandao husika waulize gharama ya kutoa Tsh 500,000/ ilikuwa sh ngapi wakati huo,,maana haiwezekani 500,000 itolewe kwa makato ya buku Basi hii kesi Mbowe ashashinda shahidi muongo hata kama alikuwa na mahusiano na Mbowe
  7. M

  8. M

    Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe 26 Jan 2022. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi wake

    Mawakili wa utetezi waende mitandao husika waulize gharama ya kutoa Tsh 500,000/ ilikuwa sh ngapi wakati huo,,maana haiwezekani 500,000 itolewe kwa makato ya buku
  9. M

    Kiundwe chombo huru cha kusimamia Jeshi la Polisi

    Hadi ulishitaki/mshitaki askari polisi upate haki mpaka uwe na mtu anaekusimamia mwenye sauti serikalini!! Chunguza utajua!! Kiundwe chombo kilisimamie hilo jeshi litawamaliza wananchi kwa kesi ovu na mauaji ya kimya kimya
  10. M

    Kiundwe chombo huru cha kusimamia Jeshi la Polisi

    Polisi Tanzania limekuwa jeshi ambalo linaweza kubambika kesi kwa yeyote wamtakae na lisihojiwe na chombo chochote. Wameenda mbali wanaua mtu yeyote hasa wafanyabishara endapo wataona ana mali za kumpora,wanamuua na wanamtupa na kuchukua mali zake kwa jeuri kabisa wakijua kabisa kwamba hakuna...
  11. M

    Waziri Masauni na Mwigulu lipeni stahiki za askari Wizara ya Mambo ya Ndani

    Linganisha wabunge 300+ na utitiri wa waalimu na Manesi!! Nadhani jibu utapata!! Ukisema ulipe labda Sh 100,000 kama posho kwa walimu na watumishi wengine utapata karibu robo tatu ya pesa inayolipa mishahara yote ya watumishi,,kwa stahili hiyo lazima ushindwe kulipa posho kwa watumishi wote...
  12. M

    Waziri Masauni na Mwigulu lipeni stahiki za askari Wizara ya Mambo ya Ndani

    Ukisema uwalipe let say walimu posho kama hizo,serikali yetu haina uwezo huo kwa sasa!! Vyombo vya ulinzi vinapewa kama ka motisha tu kulingana na unyeti wake!!
  13. M

    Waziri Masauni na Mwigulu lipeni stahiki za askari Wizara ya Mambo ya Ndani

    Nadhani pesa ipo isipokuwa viongozi mazezeta hasa wizarani walishaigeuza kama fungu la maendeleo badala ya kumpa askari haki zake!!!! Ni bahati mbaya viongozi wa vyombo hivyo nao wako bariiiiiiiidi utadhani raia
Back
Top Bottom