Recent content by Misezero

  1. M

    Ngome ya Zitto Makao Makuu ya CHADEMA Kuvunjwa Wiki hii

    Join Date : 29th April 2013 Posts : 6,107 Rep Power : 100996 Likes Received520 Likes Given80 Waganga njaa wa Rumumba utawajua.wanaajiliwa kwa kasi mno ,kamwe hamtaidhofisha chadema mpaka nife.wait for your award,you will end up shamefully
  2. M

    Rais Kikwete awasili Afrika Kusini kuhudhuria mkutano wa Amani katika Maziwa Makuu

    Nakubaliana na wewe Kabisa kwamba Matusi siyo identity ya mtu msitarabu anaye lenga kufikisha hoja yake Nakubaliana pia na malalamiko ya wachangiaji wengi kuhusu Safari nyingi zisizo na Tija za rais wetu nje ya nchi kwa sababu anaposafiri rais kumbuka anaambatana na idadi rukuki ya watu (It...
  3. M

    Mchina Akamatwa na Pembe La Ndovu Airport Dar

    Kwenye Hiyo hifadhi yetu ya BURIGI Kinana hajatinga Gene? Majuzi nimepita humo Kimisi nikiwa naelekea Karagwe kwenye Shuguli za kawaida nikamwona Tembo ana Pembe kubwa,gafla nikajikuta nikiwaza kwamba bora mnyama huyo aende mbali na barabara wachina na kina KINANA wakimwona utakuwa mwisho wa...
  4. M

    Mshahara wa wabunge wapanda mpaka 11,000,000/-

    Mswaada wa marekebisho ya Katiba Umetinga tena Bungeni.Utajadiliwa upya na walioupitisha kama maroboti(wabunge wa CCM na UDP) na wapinzani walioususia.Kama sijakosea wewe ulikuwa miongoni mwa watu wa Kwanza Kuanzisha uzi humu,mara tuu ya Hotuba ya Mh Raisi kueleza nia yake ya kuurejesha...
  5. M

    Serikali Sikivu CCM

    JF Gold MemberArrayJoin Date : 13th October 2013Posts : 511Rep Power : 405Likes Received80Likes Given215you are still too junior
  6. M

    Mbunge wangu jembe la ukweli!

    Ntukamazina Huku Ngara hatuna shida naye
  7. M

    Samuel Sitta awapa somo Kagame (Rwanda), Museveni (Uganda)

    Hi Ben, Nasikia wewe ni Next Target ya kuondolewa upinzani kwa 70 m baada ya 50m @ iliyowaondoa kina Shoza.is that true
  8. M

    Rwanda Ministers visit TANZANIA evictees, assure support

    Mkuu issue siyo ndogo kama unavyoichukulia! ujue wanaorudi kwao ukiwaona walivyo pale Rusumo utawaonea Huruma!! ni kama wanahofu wanaenda kuingia kwenye ile hali waliyoishuhudia miaka ya 50,90 na hasa 94!! wengi wanamchukulia PK kama chui ndani ya zizi la kondoo
  9. M

    Rwanda Ministers visit TANZANIA evictees, assure support

    Nimependa uamuzi wa JMT wa kuwarudisha walio Haram kwao ili wawe halal ihuko.Jumuia ya kimataifa inajua wazi kuwa uhamiaji haramu haukubaliki na kama alivyoshauri rais wa JMT kuwa TZ inakaribisha wageni wote wenye nia njema wanaowekeza ama wenye shuguli zao kwa mujibu wa sheria,yule anayependa...
  10. M

    Hodi hodi wana jf

    karibu,ila kumbuka nchi imeshauzwa na tayari magamba yananyonya damu za watu hata wasio na uwezo wa kupata mlo 1 kwa sku
  11. M

    Mbunge wa Mbeya mjini na wenzako amkeni usingizini

    nenda bar kanywe kumekucha,inaelekea sugu humjui
  12. M

    SUGU avurugwa; amwita Mizengo Pinda "Mpumbavu"

    mpumbavu nm wa- [a-/wa-] fool, buffoon, cretin, dunderhead; goof, idiot, jackass. nilikuwa naangalia tafsiri ya hilo linalodaiwa kuwa tusi kwa luga ya Kingereza
Back
Top Bottom