Eng. Y. Bihagaze
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,487
- 913
Narudia tena Poleni sana Vijana wenzangu wana CCM, pole hizi ziwashukie katikati ya mioyo yenu Na zisiwatoke. Mmejaa mitandaoni, Adui Yenu mkubwa ni CHADEMA, hamko Ki maslahi ya nchi Bali mnapigania MALI za nchi WALIZOTUIBIA WAZEE WENU.
Sijawahi Kusoma post ya Mwana CCM yeyote Yenye akili, ni UZANDIKI, MATUSI, KERO Na demokrasia ya mawazo Ndani ya CHADEMA Kwenu ni MTAJI MKUBWA SANA. Mnaamini tena Mna uchu sana Kuona CHADEMA IKIFA.. Na Kwenu kifo Cha CHADEMA ndio ahueni ya maisha yenu ya WIZI, MADAWA YA KULEVYA NA USHENZI MWINGINE UTAVYOSHAMIRI..
Mnajidanganya sana, nawapa pole sana, take it from me today, hatakama CUF, CDM, Na VYAMA pinzani vyote vikafa Leo, CCM KUSHIKA DOLA HIYO 2015 ni kitu ambacho hakipo.. Kweli hii CCM, CCM inayofanya uharamia waziwazi, CCM inayochezea Maisha ya Watanzania bila haya wala woga Ati hiyo 2015 warudi madarakani, he kama ni huyu Mungu ataendeleaje kiketi Kwenye kiti Chake Cha Enzi akiruhusu Jambo hili Litokee.. Kitu Kama hiyo haipo.. Enough is enough.. CCM itapotea, Ccm haita rudi Tena.. Nafunga jamvi ..