Recent content by mirie

  1. M

    JamiiForums Tanzania CCM Yamchagua Sitta kuwa mgombea pekee

    Anaweza huyo mzee
  2. M

    JamiiForums Tanzania Lusinde Hajui kuna Tanganyika. Too much kwa nafasi ya ubunge!

    Shule ina umuhimu tena wakisema tu wabunge waonyeshe vyeti labda akatengeze china.ujanja mwingi kichwa kimejaa......malizia
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mkoko Mpya wa Bob Junior

    Hongera zake one day yes
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vick Kamata: Utajiri hu unahitaji maelezo ya ziada

    Ccm oyeee! Ukiwa maskini utakuwa wa chama kingine huyo mazuri yote yake kazi nzuri., ubunge juu anacheza na hela kila wakati hawezi kuwa ns maisha magumu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa, Sumaye na Ngeleja wahojiwa na Kamati ya Maadili, Membe adaiwa kukacha

    Mimi hata mseme nini siwaelewi namuelewa lowassa tu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya Watanzania wanampenda Lowassa pamoja na Kashfa zake?

    Bora yeye tunayejua madhaifu yake kuliko hao wanaojiona watakatifu kumbe ni mbwa mwitu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nimeambukizwa Gonjwa baya na Mpenzi wangu! Msaada na ushauri wa Haraka

    Nenda hospital mapema pia mshauri na huyo mwenza wako kama hajapima aende akacheki afya yake
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rafiki wa karibu wa Jackie Cliff asimuliwa jinsi mrembo huyo alivyokamatwa na madawa ya kulevya China

    Uncle hardworking uanza na sifuri na ukiwaona utawajua tu nenda shambani huko vijijini kwenye kilimo., umeshawai kuwaona mama ntilie., wauza maji wakihangaika barabara na wasukuma mkokoteni yote hiyo ni mifano hao wanakula kwa jasho na nguvu .huyo dada yetu alikuwa kwenye kutafuta kwa njia isiyo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Dk. Reginald Mengi: Waziri Muhongo ni muongo, takwimu zake za uongo pia!

    Mmh kazoea kutawaliwa na wazungu huyo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri: Nani atoke, Nani abaki, Nani aingie?

    Jamani sina la kusema ila nakumbuka uongozi wa Mheshimiwa Mkapa., ni bora zaidi ya huu tulionao.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Dr Mengi na prof Muhongo tumechoshwa na malumbano yenu hayana tija kwa taifa ni vyema mkakaa chini

    Tatizo muhongo hana kauli nzuri yeye ndio chanzo cha malumbano., pia wivu hana lolote
  12. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Kagasheki ajiuzulu; David Mathayo, Nchimbi na Nahodha watimuliwa na Rais Kikwete!

    Vipi sasa nyarandu cjui na yeye anawaza nini maskini
  13. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Kagasheki ajiuzulu; David Mathayo, Nchimbi na Nahodha watimuliwa na Rais Kikwete!

    Baba pinda jiuzulu tu unangoja nini
  14. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Kagasheki ajiuzulu; David Mathayo, Nchimbi na Nahodha watimuliwa na Rais Kikwete!

    Baba hongera sana uamuzi wako ni mzuri wewe ni mfano wa kuingwa.mwanaume anasifiwa kwa maamuzi magumu bwana.hongera kwa kutua mzigo baba waache endelee wenyewe.
  15. M

    JamiiForums Tanzania I.M.O...Three most beautiful swahili bloggers

    Hujakosea baba big up
Back
Top Bottom