Recent content by miriam 111

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuna dada anatafuta kazi ya Usecretary au Stationery

    Mmmh ....dis lyf ooh
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri, nimefukuzwa kazi

    Tunza akiba ya maneno ndugu yangu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina elimu ya kidato cha nne

    Pm please, hapa wengi si wastaarabu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina elimu ya kidato cha nne

    Idea ni nyingi mkuu. Tena hiyo milioni ni nyingi,nkipata 550000 nanunua frizer 400000, brenda 90000, kisha 60000 inayobaki nanunua matunda, galon za Lita 5 nne, sukari na umeme nalipa kwa siku tsh 2000. Lita 5 moja inatoa glas 18 za juice Galon 4(za Lita 5) ni sawa na glas 72 Glas moja nauza...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina elimu ya kidato cha nne

    Wengine n matapeli ndugu yangu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa 'vitu used'

    0654476802 lipo la watu wawili,na mtu mmoja mmoja wawili
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina elimu ya kidato cha nne

    Tayar ndugu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina elimu ya kidato cha nne

    Sawa ,nakutumia
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina elimu ya kidato cha nne

    Sawa, asante sana
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina elimu ya kidato cha nne

    Bado
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina elimu ya kidato cha nne

    [emoji58][emoji58]
  12. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina elimu ya kidato cha nne

    Bado mkuu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina elimu ya kidato cha nne

    Sawa kaka, nakutafuta.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina elimu ya kidato cha nne

    Jamani naomba kwa wenye wanajua wapi naweza kupata connection ya kazi. Tusaidiane ndugu zangu Mimi ni binti miaka 24 Napatikana tabata DSM Elimu kidato cha 4 Pia nimesoma computer basic applications na niko vizuri kwenye Ms Word, Ms Excel ,PowerPoint, Publisher na hata matumizi ya internet...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa ndani anahitajika Dar es Salaam Kimara

    Shekhe mkristo vipi
Back
Top Bottom