Natafuta kazi, nina elimu ya kidato cha nne

Ndg ,,,,miriam ntaomba mrejesho kwa hawa member if kwel wote wana nia ya kutoa ajira kwako au connection maaana kjn wa kiume akipost ze same need pipo zna nyaraaa
Kweli ķabisa ndugu yangu nimepost suala hilohilo la kaz inafika wiki na zaid nina coment za watu wawil tu
 
Jamani naomba kwa wenye wanajua wapi naweza kupata connection ya kazi.

Tusaidiane ndugu zangu
Mimi ni binti miaka 24
Napatikana tabata DSM
Elimu kidato cha 4

Pia nimesoma computer basic applications na niko vizuri kwenye Ms Word, Ms Excel ,PowerPoint, Publisher na hata matumizi ya internet.

Nmefanya kazi kama wakala wa Equity Bank pamoja na Nmb Bank
Pia nimefanya kama secretary
Pia nina uwezo wa kupika chakula vizuri, bites na kutengeneza juice nzuri za matunda na Ukwaju

Hata wenye connection za viwandani pia nipo tayari

Ahsanteni.
Mtaji wa million kwa uzoefu wako wa upishi na stationery unafanya kitu gani?
 
Idea ni nyingi mkuu.
Tena hiyo milioni ni nyingi,nkipata 550000 nanunua frizer 400000, brenda 90000, kisha 60000 inayobaki nanunua matunda, galon za Lita 5 nne, sukari na umeme nalipa kwa siku tsh 2000.

Lita 5 moja inatoa glas 18 za juice
Galon 4(za Lita 5) ni sawa na glas 72

Glas moja nauza kwa tsh 500
500×72=36000
Nkitoa mtaji nna uhakika wa kusave tsh 20000 kwa siku
 
Jamani naomba kwa wenye wanajua wapi naweza kupata connection ya kazi.

Tusaidiane ndugu zangu
Mimi ni binti miaka 24
Napatikana tabata DSM
Elimu kidato cha 4

Pia nimesoma computer basic applications na niko vizuri kwenye Ms Word, Ms Excel ,PowerPoint, Publisher na hata matumizi ya internet.

Nmefanya kazi kama wakala wa Equity Bank pamoja na Nmb Bank
Pia nimefanya kama secretary
Pia nina uwezo wa kupika chakula vizuri, bites na kutengeneza juice nzuri za matunda na Ukwaju

Hata wenye connection za viwandani pia nipo tayari

Ahsanteni.
Weka mawasiliano yako
 
Kuna member aliletaga Uzi wa kutafuta mtu stationary humu.. natamani ungeona ule Uzi
Kila la kheri mpendwa
 
Back
Top Bottom