Ninauza fridge yangu aina ya Boss.
Inatumia umeme mdogo (energy server). Ina sehemu ya kugandisha na sehem ya fridge kawaida
Ipo Arusha mjini
Offer yangu ni Tsh. Laki 5
Sábado ya kuuza nina uhitaji wa pesa kwa haraka.
Mazungumzo yapo kwa mteja alie serious tu.
Namba ya simu 0758435748
Nina Crown athletic ya mwaka 2006. Hivi karibuni nimebadilisha steering rack yote pamoja na mkanda wa steering baada ya ile ya kwanza kukatika.
Baada ya kubadilisha na kuweka nyingine Steering imekuwa ngumu sana haswa wakati wa kureverse na na wakati wa kukata kona.
Cha ajabu gari ikiwa kwenye...
Nataka kuchukua moja ya hizi gari.Nimeona ni vizuri kuomba ushauri kwenu wana JF kuhusu Changamoto, Uzuri na ubaya .
Chaguo langu ni kati ya haya:
1.Toyota Mark X
2. BMW 525i au 325i
3.Toyota Crown Royal
4. Subaru Legacy By
Mtaji huo unafaa kabisa kuanzisha biashara ya Duka la Jumla. Cha muhimu tafuta location nzuri. Pia jaribu kupata frem ambayo sio ghali sana. Jitahidi kufanya stock kwa bidhaa zinazotokana na kilomo. Ni hayo tu kwa upeo wangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.