Recent content by miren farady

  1. miren farady

    msaada kuhusu hostel udsm

    71,000 au 710,000 Mkuu?
  2. miren farady

    msaada kuhusu hostel udsm

    nitumie no yako ya whatsap nikutafute
  3. miren farady

    msaada kuhusu hostel udsm

    hadi inazidi tuition fee. kwani lazima kukaa hostel mwaka wa kwanza.
  4. miren farady

    msaada kuhusu hostel udsm

    meals and accommodation ni 1.785,000 ni kubwa ya mwaka huu dah
  5. miren farady

    msaada kuhusu hostel udsm

    nasikia kua Udsm mwaka wa kwanza hostel ni lazima.wadau hivi ni kweli?
  6. miren farady

    selection udsm

    list ya kwanza wadau mbona haifunguki?
  7. miren farady

    selection udsm

    Upload list Hizo mbili
  8. miren farady

    List mpya ya waliochaguliwa UDSM 2018-2019

    mwenye list ya kwanza ya Udsm aitume. hiyo inaanzia no 2000
  9. miren farady

    KWA WALIOPATA ADMISSION LETTER ZA UDSM COURSE BCH OF ELECTRICAL ENGINEERING 2018/2019.

    msaada wadau. kwa yeyote yule aliyepata admission letter ya bch of electrical engineering anisaidie namba yake ya whatsap nahitaji msaada wakujua kilichomo ili nijiandae.
  10. miren farady

    TCU na Udsm sijawaelewa kwa hili

    ataendaje chuo yet admission letter yake inakua haipo. hebu acha kumpotosha asije akalipa fees ya bure. cha msingi naenda TCU tu wao ndo watatoa uamuzi. watakavyosema ndo hivyo unafata huna jinsi
  11. miren farady

    TCU na Udsm sijawaelewa kwa hili

    tuma screenshot ya profile yako.
  12. miren farady

    msaada

    kuna attachment nilikua nataka niiattach ila inakataa. yeyote anutumie no ya whatsap nimtumie anisaidie kuipost
  13. miren farady

    msaada

    msaada.hivi hiyo pesa na hostel au? fee ya Udsm
Back
Top Bottom