KWA WALIOPATA ADMISSION LETTER ZA UDSM COURSE BCH OF ELECTRICAL ENGINEERING 2018/2019.

miren farady

miren farady

Member
Joined
Oct 3, 2018
Messages
33
Likes
9
Points
15
miren farady

miren farady

Member
Joined Oct 3, 2018
33 9 15
msaada wadau.
kwa yeyote yule aliyepata admission letter ya bch of electrical engineering anisaidie namba yake ya whatsap nahitaji msaada wakujua kilichomo ili nijiandae.
 
ndio walewale

ndio walewale

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Messages
1,330
Likes
994
Points
280
ndio walewale

ndio walewale

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2013
1,330 994 280
Mkuu, tafuta UDSM prospectus utakuta kila kinachotakikana kama mahitaji ya kozi yako, kuanzia hapo utajiandaa vema kabisa. Kwenye admission letter cha maana sana utakachokipata kwa sasa ni REGISTRATION NUMBER yako tu ambayo inatolewa kama kumbukumbu namba ya barua hiyo.

Kwa sasa (tena kama uko mkoani au mbali na Dar) unaweza jiandaa vizuri tu bila msaada wa admission letter, kiukweli ni kwamba hii barua inaweza kusubiri (kwa sasa hadi utakapofika chuo kujisajili na hivyo kuichukua wakati huo).

Nakutakia maandalizi mema (kama utafuata ushauri wangu hapo juu) lakini pia nakutakia upatikanaji mwema wa admission letter (kama hautafuata ushauri wangu hapo juu). Either way nakutakia kila la heri.

Karibu sana UDSM.
Karibu CoET.
 
asante mkuu.
 
Forum statistics

Threads 1,237,558
Members 475,562
Posts 29,293,331