Recent content by Miracles Invoker

  1. Miracles Invoker

    Matarajio yetu kwa wengine yanaposhindwa kutimia: Tunakabiliana nayo vipi?

    Kwa niliyopitia huwa siweki matumaini makubwa, not too much expectations..
  2. Miracles Invoker

    Kuna haja ya utafiti jinsi punyeto inavyowaepusha vijana na magonjwa ya zinaa

    Chaputa wengi wamekoswa koswa na hizi gono sugu, kaswende n.k Majamaa wapo makini sana.. Ilimradi mikoko wanayo
  3. Miracles Invoker

    Naomba kujua ni vipi Ustawi wa Jamii wanasaidia baba ahudumie watoto aliowatelekeza

    Huyo jamaa ako "he" is a scumbag, purely scumbag
  4. Miracles Invoker

    Hivi inakuwaje mke anasema " Mume wangu hii hela nakukopesha?? Sasa kukopeshanaje na mmeoana!!

    Welcome mkuu.. Karibu sana.. It's just marriage life
  5. Miracles Invoker

    Ndugu zangu nawaomba mnisaidie hivi Nabii Musa alikuwa ni Muislamu au Msabato? Nashindwa kuelewa kabisa nani mkweli?

    Mkuu kwanini usimuulize tu moja kwa moja? Wana tumechoka hizi mambo za kubishana mambo ambayo hatuna uelewa nayo
  6. Miracles Invoker

    Kwa nini majini ya waislam yanajibu haraka sana kuliko malaika wa wakristo?

    Mkuu malaika ni higher than jinns pia utendaji wao ni tofauti... Malaika unaweza kumuita na kutoa ombi lako ni kwamba tu they work different.. Huwa wana maintain balance Malaika ukijua ilmu na namna ya kuwaita na kuwasiliana nao, mambo ni chap tu mkuu
  7. Miracles Invoker

    Ni sahihi Mbwa kupewa maisha mazuri kuliko binadamu?

    Binadamu na mbwa wote ni viumbe hai.. Wote wana mahangaiko na mateso yao.. Mkuu unataka kusema mbwa na paka hawastahili matunzo? Kwamba ni binadamu pekee ndio wa kusaidiwa? Huyo huyo binadamu kuna mda anapata msaada kutoka kwa mbwa.... (sigh)
  8. Miracles Invoker

    JamiiForums Usiku wa manane

    "She" was such a good friend... It was such a good feeling... such a good love, It left me in awe! She was such a beautiful world. 2:47am
  9. Miracles Invoker

    Wadau wa chudai tujuane hapa

    Naam naam tupo mkuu... Ndio mida yangu hii
  10. Miracles Invoker

    Kuna mambo ni magumu sana kuyaelewa 🤔

    Kidogo nipaaliwe na soda... Ona sasa sina hamu ya kuendelea kunywa mkuu Anyway vijana wengi wanaharibika asee
  11. Miracles Invoker

    Sifa za wadada waki-Machame

    Wakuu kuna sisi hatuwajui wamachame.. Leteni tupicha tutoe ushamba (in a way itawasaidia chaputa pia)
Back
Top Bottom