Recent content by Mipoozo

  1. Mipoozo

    JamiiForums Tanzania Yapi yanaweza kuwa maswali ya usaili wa nafasi ya Examination Officer NECTA?

    Asante sana kiongoz kwa kunitia moyo, Hayo maneno yatawapa ujasiri na wengine wengi sio mimi tuuu.
  2. Mipoozo

    JamiiForums Tanzania Yapi yanaweza kuwa maswali ya usaili wa nafasi ya Examination Officer NECTA?

    Nimeitwa interview mbili Examination officer na Registration officer zote zinafanyika muda mmoja bado sijajua nifanye ipi, niache ipi.
  3. Mipoozo

    JamiiForums Tanzania Yapi yanaweza kuwa maswali ya usaili wa nafasi ya Examination Officer NECTA?

    Wakuu nimeitwa kwenye usaili wa Examination officer(written) hapo Dodoma (2/10/2023). Naomba kujuzwa maswali yanayoweza kuulizwa kwenye hiyo paper kutoka kwa wazoefu mliowahi kufanya hizo interview.
  4. Mipoozo

    JamiiForums Tanzania 'Mimi ni nani' ya Roma imebuma

    Ingebuma usingekua unaijadili hapa muda huu mbona best naso anatoa nyimbo kila cku kwann sijawai kuona uzi wake hapaa??
  5. Mipoozo

    JamiiForums Tanzania Niliogopa nilipoanza kusikiliza wimbo mpya wa Roma 'Mimi ni Nani?

    Ukiingia youtube utaona kweny cover ya iyo nyimbo kuna kiti. Kile kiti ndio jibu lenu lipo pale sasa wataalamu wa tafsida watuambie kile kiti kina maana gani?
  6. Mipoozo

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuachana na mke wangu

    Tatizo hamuuzulii vikao situlikubaliana mwanamke kama uyoo atafutiwe mke mwenza(bi mdogo)?
  7. Mipoozo

    JamiiForums Tanzania Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

    Kwenye kikao chetu wanaume tumesha kubaliana kwamba ukijua mkeo anakucheat ni kumuacha tuu wala hakuna mjadala kwaiyo ni bora uendelee kubaki na siri yako kwa usalama wa ndoa yako
  8. Mipoozo

    JamiiForums Tanzania Jambo gani baya umewahi kumfanyia mpenzi wako na utajutia milele?

    Kuna demu alinipenda sana kipindi hicho, nimechoka vibaya sina mbele wala nyuma, lakini bado yule mtoto aliendelea kuniganda na kunisikiliza. Mwaka nilipohitimu shahada, yeye pia alihitimu stashahada. Mwenzangu akapata kazi kabla yangu na alipata kazi mkoa tofauti na ule tulioishi, lakini...
  9. Mipoozo

    JamiiForums Tanzania Jambo gani baya umewahi kumfanyia mpenzi wako na utajutia milele?

    [emoji1787][emoji1787]
Back
Top Bottom