Recent content by MINNIE MO

  1. MINNIE MO

    JamiiForums Tanzania Penzi la Lulu na majizzo 'matatani'

    mi jamani naomben kujua..sijawahi kumuona huyu lulu akirudia nguo alovaa hata mara moja..kule insta kilavsiku gauni jipya,nguo mpyaa,viatu vipya,mikobaa...chumba chake anachohifaddhia hivi vitu kikoje..hata kama ustaa kwan kurudia nguo ni dhambi? kwann wadada wa bongo muvi au flva...
  2. MINNIE MO

    JamiiForums Tanzania Penzi la Lulu na majizzo 'matatani'

    yap.hakuna akie mkamilifu kuanzia ndani hadi nje..binadam hatujakamiloka...na pia sio kila mtu kapewa vyote. naomba nkushaur usichukulie kila kitu serious...tuko kwenye utani tu! relax!!
  3. MINNIE MO

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa IFM apigwa risasi 4 na mtu anayesadikiwa kuwa ni askari

    msipende kutembea peke enu usiku...jitahidi basi muwe wawili watatu.ashukuru kama yupo hai.kuna mwenzie wa saut aliuliwa akachomwa moto kabisa hadi kufa ndo baadae wanafunz wenzie wakamrecognize ni mwanafunz mwenzao alikua anatoka bar kunywa na wananchi wakakiri walimfananisha na mwizi aliewah...
  4. MINNIE MO

    JamiiForums Tanzania Penzi la Lulu na majizzo 'matatani'

    naskia hajiamini na ufupi wake hata akiwa nyumbani jikoni anapika na khanga ndani mda wote anatembea kavaa skuna[emoji85] [emoji23]
  5. MINNIE MO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke akinipenda na kunijali bila kuniomba pesa namfukuza

    mwenzangu kweli kujenga hoja sijui...ulitarajia nkujibuje kwani? mi nlicomment tu wala siko serious.walio serious watakufuata pm.maana ndo target uliyoona yafaa kuvuta wadada. hebu soma comment zotee uone nani humu anasupport huu uharo uloandika..
  6. MINNIE MO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke akinipenda na kunijali bila kuniomba pesa namfukuza

    hakuna cha bure kwenye usawa huu wa anko magu..pm utafuatwa na haohao wauza qma..
  7. MINNIE MO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke akinipenda na kunijali bila kuniomba pesa namfukuza

    anamfuataje sasa...kwani tuko physically mume na mke hapa. #hunahelaunatafutakikijf
  8. MINNIE MO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke akinipenda na kunijali bila kuniomba pesa namfukuza

    baby naomba laki moja....
  9. MINNIE MO

    JamiiForums Tanzania Ni tabia gani sugu uliyokuwa ukiifanya utotoni?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  10. MINNIE MO

    JamiiForums Tanzania Jipatie viatu original vya ngozi. scarf na ponchos kwa bei poa

    mabibo shule..karibu
  11. MINNIE MO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ufuska Vyuoni

    we t.a.k.o kweli
  12. MINNIE MO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ufuska Vyuoni

    ok
  13. MINNIE MO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ufuska Vyuoni

    na wewe pia.muone
  14. MINNIE MO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ufuska Vyuoni

    only umpate tu mwanaume muelewa na sio hawa wenye akili za kukaririshwa et kila bint aliepitia chuo kafanya umalaya..wapo waelewa
  15. MINNIE MO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyeje nipendwe kama zamani?.

    kojo
Back
Top Bottom