Recent content by minjapeter

  1. minjapeter

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya samsung galaxy A series na China phone like tecno na infnix ni majina tu

    Huwezi linganisha A series na tecno , maana samsung ni kampuni kubwa ila tu A series (Alpha) ni galaxy series inayotoa simu za bei rahisi na affordable kwa hii jamii kubwa ya afrika ambayo ina watu wengi wenye kipato na uwezo mdogo wa kupurchase simu,pia wanaeka chipset ndogo ambayo huwezi...
  2. minjapeter

    JamiiForums Tanzania Hivo kwanini whatsap wanablock watumiaji?

    We ndo umjibu
  3. minjapeter

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuroot tecno w4 marshmallow 6.0

    Ndio mkuu
  4. minjapeter

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuroot tecno w4 marshmallow 6.0

    Duuh wataalam tunawaomba aseee
  5. minjapeter

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuroot tecno w4 marshmallow 6.0

    Wakuu naombeni msaada juu ya kuroot tecno w4 maan kwa one click root kma kingroot zimegoma aseee.....ko tukiachana na kuroot kwa pc utaalam upi natumia kuroot hii Android.......maan cna pc
  6. minjapeter

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku root simu yako ya Android

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  7. minjapeter

    JamiiForums Tanzania TWRP

    Aina ya simu ni tecno w4
  8. minjapeter

    JamiiForums Tanzania TWRP

    Haswaaa hili ndilo nlikua nalitaka
  9. minjapeter

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuinstal RAM ya samsung kwenye HTC au simu nyingine?

    Wakuuunaweza kuinstal ram ya samsung kwenye htc au simu nyingine yaan nkimaansiha ile display ya simu muonekano wake na hata fonts bila kuroot....ukainstal kwenye simu nyingine na ikaonekana kama simu ya samsung
  10. minjapeter

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kudownload na ku extract apk na mod ya game (modern combat 4 sandstorm)

    Wakuu naomben kusaidiwa hii game imekua ikinisumbua sana kila ninapo jarib kuinstal inanigomea nime view youtube videos kibao nikajifunza jinsi ya kudownload data ya apk na mod na jinsi ya kuextracct lakin cha ajabu nimejaribu kudownload apk data nika extract kma inavyo takiwa lakini inagoma na...
  11. minjapeter

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuifanyia simu root assess

    [emoji3] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
  12. minjapeter

    JamiiForums Tanzania TWRP

    Naomba kujua jinsi ya kuweka TWRP recovery ya simu kwenye desktop pc
Back
Top Bottom